Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Kweli mkuu
 
RON ALDO kuna nyimbo moja ya SOS B inaimbwa "Ikibidi hivyoo ikiwa hivyo" kitu kama hicho
Sidhani kama naujua mkuu. Wimbo wa SOS B niliokuwa na uhakika naujua ni Kukuru Kakara, labda huo mwingine nimewahi kuussikia enzi hizo bila kujua ni wake. Nitaanza harakati za kuutafuta.
 
Bone crew wameimba 'huyu jamaa' ft Daz baba na wana nyingine kali zaidi iliitwa "kilio Cha wanafunzi"[emoji91]
 

Tanzania taifa la bongo, kwenye hardtime tuna make bingo..........
 
Wale mabaga na ule ulemavu wao lakini walikuwa wakikutana na demu. Lazima huyo demu anye au afe nusu maana vile viuno vyao ni zaidi ya machine

Heee kuna kunya tena!? Kumbe lindaz watu wameanza kudili nazo kitambooo.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…