Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

NUTA Jazz
Kilwa Jazz
Tabora Jazz
Dar International
Safari trippers
Moro Jazz

Kwa sisi wahenga, nimeona msamiati WAHENGA umetumika pasipo mahala pake.
Hizo ni bendi sio bongofleva
 
Bila kusuka na Kuvaa hereni za kuning'inia bila kusahau kurambaramba midomo nyimbo zimejaa matusi ata mvuto wa kuskiliza azina
Kuna mmja nilimsikia anasema anaona raha sana kuigiza mwanamke na kuvaa nguo za kike achilia mbali kazi kulipa ila anasikia raha. Hapo ni mbele ya kamera sasa backstage sijui hali ipoje.
 
Daaa gangwe mob walitisha sana, kuna jiwe lao moja linakwenda kwa jina la "nje nje nje ndani" "nalikubali mpk sasa.
Hakika sema hii nyimbo hua naitafuta siipati online mwenye nayo aiweke wakuu
 
Gangwe Mobb ft. Nasma Hamis - Wape vidonge vyao...
Huu unaweza kuwa wimbo wao nilioupenda zaidi
Your browser is not able to play this audio.
 
DAZ NUNDAZ
Ferouz
Daz Mwalimu
na wengineo

WAGOSI WA KAYA (WAGOSI WA NDIMA)
Dr John
Mkoloni

FAGIO LA CHUMA CREW

wahenga ongezeeeni
Mwengine sajo [emoji2][emoji2]
ila hawa jamaa nyimbo zao hazijawahi kuchuja...

Kamanda
Barua
Boss
nyie watu walikua wanaimba vitu vina make sense Wallah
 
Wachuja Nafaka, hawa sikuwahi kuwaelewa ni akina nani haswa maana sikujua kuwa ni GWM tu wamejibadilisha jina wakmuongeza Juma Nature au vipi, ila 'Ya leo kali' lilikuwa bonge la pini...
Your browser is not able to play this audio.
 
Uswahilini ndio walioimba Kosa la Marehemu. [emoji23][emoji23]
Hakuvaa Condom watu walijua kutuimbia vitu[emoji23][emoji23] Dar mpk moro ilikua Hit song
Walikuwepo na wajanja wa Arusha, DOMOKAYA
Mandojo
Watu pori
A.k.A washamba[emoji23]
 
NAKO 2 NAKO
Ndio zetu kuwakilishaaaaa ha...
Your browser is not able to play this audio.
 
View attachment 1782215
Nje nje nje ndani
popote kambi babu weka maskani...
Gangwe Mobb ft. Nasma Hamis - Wape vidonge vyao...
Huu unaweza kuwa wimbo wao nilioupenda zaidi
View attachment 1782231
CBM Crew ft. TID - My Girlfriend:
Wachuja Nafaka, hawa sikuwahi kuwaelewa ni akina nani haswa maana sikujua kuwa ni GWM tu wamejibadilisha jina wakmuongeza Juma Nature au vipi, ila 'Ya leo kali' lilikuwa bonge la pini...
View attachment 1782267
NAKO 2 NAKO
Ndio zetu kuwakilishaaaaa ha...
View attachment 1782279
Heshima kwako mkuu
 
HORSE _ Huu siwezi kusema ni wa zamani ila ni wa kwanza kangu kusikia P-Funk 'Majani' akichana. Hapa yuko na Jay Moe na Imam Abbas wa East Coast Team, wakiwakilisha wabongo wachache kwenye game waliokuwa na uwezo wa kuimba kwa kizungu. Sidhani kama ulipigwa redioni kwa sababu ya maneno mabaya katika baadhi ya mashairi yake.

Your browser is not able to play this audio.
 
Kosa la Marehemu
Your browser is not able to play this audio.

- Uswahilini Matola
 
Kulikuwa radio presenters waliupigania sana mziki wakina Mike mhagama,taji liundi, soso b,Sebastian maganga

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…