KERO Haya malori yanayopaki barabarani yamekuwa kero

KERO Haya malori yanayopaki barabarani yamekuwa kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,899
Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka.

Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka njia moja ya barabara kuu. Hili jambo linasababisha foleni kuwa kubwa na kulazimisha magari ya kawaida yatumie Barbara ya mwendo kazi.

Wito wangu!
Mamlaka wachukulie hatua hawa watu.
 
Mtu kakuchangia 10b unatoa wapi nguvu ya kumwambia aspaki barabarani?
 
Back
Top Bottom