SIO wenzetu.
Habari kubwa ya defence and security wiki hii ni kugundulika kwa tani elfu 70 za silaha za North Korea kupelekwa Russia.
MOSAD hawakujua, wala CIA, wala MI 15, wala Mkuu wa Upelelezi Kituoni Staki Shari, Ukonga.
Halafu Magharibi wakasema wanaamini North Korea inapewa chakula in return. Hawana hakika kalipwa nini.
Binafsi sikujua kuna shehena za dhana za mass destruction zinakatisha baharini na mzungu hajui, na radar zake na sonar machine za ku detect miungurumo baharini na metal detectors na smoke detectors !!!! Hakujua nini kimekwenda, nini kimerudi kama malipo! Wana teknolojia ya kuunda dhana nzito za kivita na kuzisafirisha gizani.
Sisi tumesema computer za TRA na computer za TPA hazisomani, zimetushinda! Tulete Mwarabu tumuuzie. Mkorea hawezi kuleta Mwarabu kwake au kiumbe chochote eti kimuendeshee ma cranes na ma computer.