Haya mambo kumbe hata Korea wanafanya, nilidhani ni Afrika tu

Haya mambo kumbe hata Korea wanafanya, nilidhani ni Afrika tu

Cha ajabu katika Parade km hio hata Siku 1 popote hutokuta kuna Angelina Jolie (Mwanamke Shupavu) anaonyesha show ya kupasuliwa na matofali kichwani

Kwa hio wale wanajeshi wanawake Jeshini ambao wapo kitengo kimoja na hao mabwana wanaopasuliwa na mambao kazi yao ni IPI haswa?
Nafuatilia kiundani.
 
Waangalie Jeshi la Marekani mazoezi yao ndo Utajua Tofauti Nguvu bila Akili ni Kujichosha tuu
 
Wako vizuri bana, sio haya maigizo ya huku.
 
Back
Top Bottom