Haya mambo kuweni makini nayo

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
1. Usidate na mtu hana kipato uwe me au ke,
2. Usidate na mtu kila saa ni anahitaji kusaidiwa
3. Usifanye kazi kwenye kampuni isiyo kubwa na isiyo yenye kipato
4. Usifanye kazi mahali mtu hajapiga hatua.
5. Usidanganywe na me au ke kuwa yeye ni mlokole vitu vyote anapata kwenye maombi, usipende kuolewa na mtu mcha Mungu hii ni wazo la leo.
 
Ya kwanza WRONG umetanguliza hisia za kike zaidi kuliko Uhalisia hakuna mtu ambaye hana haki ya kupendwa hata kama hana kipato sahihi, hayo mengine yana impact ndogo sana na katika mapenzi, wazazi wetu walipendana hivyohivyo bila kipato na wakadumu

2,3,4,5 nakuunga mkono hasa hiyo ya tano ni upumbavu mtupu, juzi kuna rafk eti nyoka kaingia kwake badala amuue eti anapiga maombi
 
Hiyo point namba 2 wanawake wote wapo hivyo.

Ukipata ambaye hataki kusaidiwa chochote na mwanaume ni mwanamke wa kimeru hakika ila me ndiyo unaolewa ukiingia vibaya
 
hapo atakwambia ni vita hivi mbinu za adui shenzi kabisa
 
Nimeipenda hiyo no.5 usipende kuolewa na mtu mcha Mungu; badala yake penda sana kuolewa na waabudu shetani
 
Usipende kuolewa na mchamungu????
BABA UWASAMEHE HAWAJUI LILE WANALOLITENDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…