Haya mambo kuweni makini nayo

Kwa hiyo wacha Mungu hawafai tena 🀣🀣🀣 wewe utakua mdgo ake na ibilisi kwa kweli
 
Hapo kwenye namba tatu muhimu ni kipato unaweza ukafanya kazi kampuni kubwa ukawa unalipwa hela kidogo. Lakini kuna mwenzako yupo kwenye Ka NGO kanazunguka Tanzania hela anayoongiza sio poa. Kuna jamaa ni Boss baloon Safari alitoka kampuni kubwa alianza kipindi Baloon Safari ilikuwa ndogo. Leo hii analipwa mshahara utasema kampuni ni yake kudos kwake.
 
Mtu anaumwa kichwa kawaida anaanza maombi, mbona njaa huwa hawaombi shibe?

Too much is harmful, kila kitu kiwe na kiasi. Dini nayo ukizidisha inalevya
 
Hilo la kwenye kazi umechemka,...
 
3. Usifanye kazi kwenye kampuni isiyo kubwa na isiyo na kipato

Nini maana ya kampuni na ni vigezo gani vinatumika kutambua kama hii ni kampuni?

ni asasi au shirika linalotambuliwa kisheria ambalo limeundwa kwa ajili ya kuunda au kuuza bidhaa na / au huduma kwa wateja[1] na linashughulika na aina yoyote ya biashara.

Ufafanuzi wa neno na taratibu za sheria hutofautiana nchi kwa nchi. Kwa ujumla, kampuni shirika la biashara linalotengeneza bidhaa kwa namna iliyopangwa na kuziuza kwa umma ili kupata faida.

4. Usifanye kazi mahali mtu hajapiga hatua.

Hadi mtu anaweza kutafuta wasaidizi maana yake ni kwamba amekwisha piga hatua, kwa minajili ya kipato chake kinaweza mudu kulipa mfanyakazi / wafanyakazi.
 
Utakuja nielewa tu saivi hutonielewa
 
3. Me naona International company ndoziko vzr.

4.Ana manisha wafanyakazi wawe na maendeleo.
 

Kuna dini nilipelekwa na mwanamke wangu mpya aisee wale watu wote wanafanana akili kama za huyo mwanamke wangu wote wakali yaani amri amri, wanaonekana wamevurugwa sana yaani kidogo tu,. Mwqnamke anakuwazia uchawi! aisee nimejifunza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…