Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid.
Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana.
Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social distance.
Mmekaa kwa uhuru mnajadili. Mbowe hajavaa barakoa wala Gloves.
KATIKA HILI LA CORONA MAGUFULI WAS RIGHT. HATA WASANII NAONA WAMEONA KERO KUIGIZA KUVAA BARAKOA. WALIOCHANJWA NI WACHACHE SANA.
But mnijibu nini kimetokea kwa Covid 19? Hoja za Gwajima zilijibiwa? Gwajima si mkamilifu naye ana mapungufu yake lakini katika Corona binafsi nlikubaliana naye.
Mimi sijachanja na sivai barakoa. Nmezunguka karibia mikoa 20 ya Tanzania toka mwaka 2020 mpaka leo. Sijaumwa Corona.
Sisemi Corona haipo. Ila nachosema tulitaka sana kuiabudu na kuifanya ni hoja ya kuchukulia points.
Watu wanakufa kwa Malaria but hatutembei tumevaa net. Kuna namna ya kujikinga.
Mbona hatuvai barakoa?
Mbona hatuwi na social distance?
Mbona tumeacha kutumia sanitizer?
Siyo dhambi kusema katika hili Magufuli was right.
Halafu tuendelee kumchukia kwa mengine.