Wewe acha kutoa ushuhuda wa uongo kuhusu Magufuli hahahahhah.
Kwanini hiyo Corona ipite tu na watu wa nje ya Magufuli?
Unaleta mfano wa ndugu yako,Una uhakika ndugu yako hakuwa na ugonjwa mwingine kama KISUKARI, UKIMWI, CANCER nk lkn nyie mkajitoa ufahamu kuwa kafa Corona?
Hizi porojo za ndugu yangu kafa Corona sio wewe tu,ni wengi vifo vya ndugu zao Corona ilikua fashion.
Mtu ndugu yake anatumia ARV muda mrefu,siku vimegoma anakuja mbio oooh ndugu yangu kafa Corona.
Mimi mwenyewe kuna ndugu wawili walikufa enzi za Corona lkn History zao ndio ziliwabeba na sio kuwatwisha kivuli cha Corona.
Walikua ni waathirika wa muda mrefu sana.
Nikikuuliza leo huna ndugu wanaokufa,utasema wapo.Je wanakufa Corona?
Corana ni watu wengi sana wanapata lakini sio kwamba inauwa kila mtu!. Lakini kama una miaka 60 na unatumia Pacemaker kwa Corona ile Delta variant kupona ilikuwa ngumu. Ndugu wa Magufuli walipata Corana pamoja na mke wake. Lakini nikuambie pia mkuu wa majeshi naye alipata akapona, Mpango alipata akapona, katibu wake alifaniriki , mfanyakazi mmoja ikulu na Magu wote walifariki. Spika Ndugai yeye kapata December iliyopita, Tulia alipata mara mbili 2020.
Wengi wamepata Corana laini ni variani gani na hali yako ya afya ni muhimu. Lakini ni tuna malimbukeni wengi sana siku hizi baada ya elimu kushuka kiwango!