Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka a avaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana...
Swala Corona amelimaliza waziri mwenye dhamana Afya. Umeiza kwa kuwa una hasira nao.
 
Acha kukariri ujinga. Yaani uumwe ugonjwa na usijue uliumwa hahahahhah. Tunasema anaumwa malaria kwa kuangalia dalili au kapima. Sasa mtu yupo busy na mambo yake we unakuja na porojo za ulimwa Corona ila hukuonesha symptoms hahahahhah. Sayansi gani hii?
 
Nani kakambia inachua kila mtu! Magufuli alikuwa na pacemaker kama hujui hii ni nini nenda ka google! Mimi namjua kuanzia nikiwa na miaka 17 mwaka 1992 sasa wewe umeanza kumfahamu lini? Yeye ananijua kwa sura je anakujuwa na wewe au ni chawa tu. Mimi ni family Member hapa kama hujui msiwe wanafiki ! Sisi tumepoteza ndugu na sio Raisi pekee nyie wajinga ndiyo mmesababisha apoteze maisha kwa ushabiki wenu wa kijinga
Wewe acha kutoa ushuhuda wa uongo kuhusu Magufuli hahahahhah.

Kwanini hiyo Corona ipite tu na watu wa nje ya Magufuli?

Unaleta mfano wa ndugu yako,Una uhakika ndugu yako hakuwa na ugonjwa mwingine kama KISUKARI, UKIMWI, CANCER nk lkn nyie mkajitoa ufahamu kuwa kafa Corona?

Hizi porojo za ndugu yangu kafa Corona sio wewe tu,ni wengi vifo vya ndugu zao Corona ilikua fashion.

Mtu ndugu yake anatumia ARV muda mrefu,siku vimegoma anakuja mbio oooh ndugu yangu kafa Corona.

Mimi mwenyewe kuna ndugu wawili walikufa enzi za Corona lkn History zao ndio ziliwabeba na sio kuwatwisha kivuli cha Corona.

Walikua ni waathirika wa muda mrefu sana.

Nikikuuliza leo huna ndugu wanaokufa,utasema wapo.Je wanakufa Corona?
 
Usinitumie link,jibu hoja hapa kutoka kwenye akili zako.Au ndio mwendelezo wa kukariri?
Wewe ni wakuonewa huruma tu,hata ukijibiwa utataka reliable source,nimekupa reliable source unataka maelezo yangu!

Ni kama vile umejikoki kubishana kwa kitu ambacho huna elimu nacho.

Unaweza kuendelea kuamini unachokiamini,

Am done.
 
Uliwahi kusikia neno wave au wimbi?

Ukiwa mburula katikati ya mawimbi si nadra kujitangazia ushindi baada ya maombi ya siku 3.

Endelea kuota kwani huo nao ni uhuru wa mtu.
Ujue watu wengine kwa ujinga wao walitaka Covid-19 iwe kama Cholera... Yaani tit for tat... Walipoona gonjwa haliui kwa kasi ile basi wakalete dharau zao.

Hivi kweli mtu anaacha kuchukua tahadhari kisa gonjwa lipo lakini haliui watu wengi!

Roho za kishetani kabisa!! Bora walichambuliwa na kirusi hicho hicho!
 
Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka a avaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana...
Ulikuwa ni ufala mtupu na kutishana. Naungana nawe katika hili mkuu!!💪💪💪💪💪
 
Ulipoandika "WATU WANAKUFA NA MALARIA ILA HAWATEMBEI WAMEVAA NET" Hapa ndio nimekuona mpuuzi na kuona mada yako yote ni pumba...
 
Upeo wako umeishia hapa? Zamani walikuwepo vijana wa chadema wenye kujenga hoja. Hapa katikati wamezaliwa watoto wa 90s na 2000s kichwani hamna kitu. Nawaza wakija ondoka akina Lissu,Heche n.k Chadema itabaki na akina nani? Inasikitisha sana.
Sana mkuu!
 
Upeo wako umeishia hapa? Zamani walikuwepo vijana wa chadema wenye kujenga hoja. Hapa katikati wamezaliwa watoto wa 90s na 2000s kichwani hamna kitu. Nawaza wakija ondoka akina Lissu,Heche n.k Chadema itabaki na akina nani? Inasikitisha sana.
Lissu mwenyewe ni narrow minded sana yeye kwake kila kitu anakitizama kwa miwani ya sheria na uanaharakati.
 
Mtoa uzi na wee ukienda hija kule kitovuni , uwachape viboko wooote ambao hawatakua wamevaa barakoa, yaani unateseka saaana , sasahivi huna hoja ili mradi uonekane upo tu pole sana ndugu.
 
Binafsi sijamuelewa mtoa post na nimeshindwa kuunganisha maelezo yake na chadema.
 
Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana...
Unaishi wapi? Sasa watu wamechanja na maambukizi yako chini Sana.

Angalia nchi zilizokuwa strictly kwenye Corona nao,wamelegeza, nchi Kama Kenya, juzi waziri wao wa afya ameondoa marufuku ya kuvaa barakoa nadhani hata Rwanda.

Hawana sababu ya kushinda na barakoa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom