Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja



Corana ni watu wengi sana wanapata lakini sio kwamba inauwa kila mtu!. Lakini kama una miaka 60 na unatumia Pacemaker kwa Corona ile Delta variant kupona ilikuwa ngumu. Ndugu wa Magufuli walipata Corana pamoja na mke wake. Lakini nikuambie pia mkuu wa majeshi naye alipata akapona, Mpango alipata akapona, katibu wake alifaniriki , mfanyakazi mmoja ikulu na Magu wote walifariki. Spika Ndugai yeye kapata December iliyopita, Tulia alipata mara mbili 2020.

Wengi wamepata Corana laini ni variani gani na hali yako ya afya ni muhimu. Lakini ni tuna malimbukeni wengi sana siku hizi baada ya elimu kushuka kiwango!
 
Sijakuelewa unataka nini kwa CHADEMA.Maana umeenda mbele halafu ukarudi nyuma,kisha ukabaki katikati.Hukupenda walivyokutana au unamsifu Magufuli?
Na wewe ungeandika vizuri basi maana unachuchumaa... unasimama.... kisha unachuchumaa tena ukasimama halafu ukataka kuchuchumaa na kusimama kwa wakati mmoja umejikuta umeinama tu umebaki hapo hapo. hukuelewa hoja yangu au umefunikwa na ushabiki?
 
Yaan we ndo mwehu kabsa! yaan mpaka Leo unaamini magu kaondoshwa na covid.
Pumbav kabsa!
 

tayari imeisha ingia shimoni
 
Yaan we ndo mwehu kabsa! yaan mpaka Leo unaamini magu kaondoshwa na covid.
Pumbav kabsa!
Sio najua nauhakika alipata Covid ndiyo iliyofanya pacemaker yake yakusaidia moyo isifanye kazi. Serikali imeficha hili kwasababu ya misimamo yake ya covid lakini huu ndiyo ukweli na familia yake haitabisha kwenye hili
 
Alipo magufuli leo ndipo alipo kaka yake mbowe, ndipo ataenda chiba na huyo mbowe wako. Ndipo wewe na mimi tunaelekea.
 
Alipo magufuli leo ndipo alipo kaka yake mbowe, ndipo ataenda chiba na huyo mbowe wako. Ndipo wewe na mimi tunaelekea.

Wewe ishi kwa haki na toa haki kwenye Dunia hii. Ukishinda kufikiria Magufuli na Mbowe ni binadamu kama wewe na unatakiwa kujiuliza unafanya nini. Usiondoke hapa Duniani kwa fikra za uongo au kujidanganya ni bora sana uwe mkweli kwenye nafsi yako ili kama ukiondoka roho yako isijute. Huu ni ushauri wa bure
 
Mbowe anaishi kwa haki?
 
Wewe Mkuu na Chadema hamjawai iva chungu kimoja hivyo lolote unalosema kuhusu Chadema upo sahihi sana kwa mtazamo wako.
 

Nafikiri alipaswa kulipia huo ushauri
 
Huna hata akili,na waliokupa like ni walewale TU.
Wala sijasoma yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…