Ndugu yangunkama ni.mkeo acha matumizi kama kawaida kununa kwa mwanamke kuna sababu nyingisana akiwa hedhi anakuwa na asira bila sababu ya maana akiwa mja mzito mwanzoni visa vi ngi ana kwa hyo usiwe mtu wakurika na wewe watakushangaa ni kawaida ya mwanamke hata wivu humfanya ananuna kawaida sanaa yani ukiviweza hv mbona ndoa tamu sanaMke anakununia siku nzima yaani hataki kuongea na wewe kabisa afu asubuhi niache matumizi wakati ameninunia
😂😂😂😂😂Labda hujamchapa vizuri usiku
Umefunzwa kuishi nao kwa akiliMke anakununia siku nzima yaani hataki kuongea na wewe kabisa afu asubuhi niache matumizi wakati ameninunia
cheki jinga hiliKweli ninawiki sijafny hayo mambo niko busy
Hizi aina za vijana wa siku hizi ni challenge sana, ukiangalia nyuzi zao humu za malalamiko dhidi ya mabinti/wanawake unagundua kuwa jamii ina upungufu wa wanaume.Hahah ndio maana watu wazima tu ndio hupaswa kuoa, Sasa mdogo wangu kuacha matumizi kunahusiana nini na mtu kununa?