hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya wote watakao kiuka utaratibu ๐HAYA Sasa kupitia kitenge tv, Nnkya mmoja wa wamiliki wa office nzuri nya kuliko office yake chalamila hapo maxense anedai mkuu wa mkoa anakurupuka na matamko yake, maana wakati hizo OFISI zinajengwa yeye alikiwa mkuu wa mkoa iweje Leo awatske waziamishe?;
MkanganyikoKupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?
Mtu ana mzigo chanika/Kigamboni kilo 100 tu, atafikaje Mbezi kimara na gharama zitakuwaje? Matajiri wa mabasi wanawasaidia waananchi, lakini wananchi wenyewe wana akili mavi kama weweHii amri ya Chalamila natamani Rais Samia akazie ili upigiliwe msumari wa mwisho, Chalamila yupo sahihi apongezwe
Yoh yoh yoh yohiiiiii mkata viuno wa lumumba buku 7fc kitengo hiki kimewafanya matako yamekua kama chapati kutwa kucha mmekalia sofa mkichungulia mitandaoni senzi zaidyhatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya wote watakao kiuka utaratibu ๐
Huyu jamaa yupo vizuri kabisa, crystal clear.
Matamko siyo sheria weka kifungu mkuu au ni yale ya Polisi kuchunguza tuhuma za kuidharau mahakama๐๐๐๐hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya wote watakao kiuka utaratibu ๐
wrong parking ni ukiukaji wa sheria za usalama barabarani gentleman ๐Matamko siyo sheria weka kifungu mkuu au ni yale ya Polisi kuchunguza tuhuma za kuidharau mahakama๐๐๐๐
Maendeleo na ustaarabu ni huduma kurahisishwa na kumfikia mtumiaji bila changamoto na ndicho wanachokifanya wenye mabusWatu wa Dar acheni ubishi stendi haiwezi kuwa karibu na kila mtu. Mikoani stend zipo centre za wilaya, hivyo ukiwa mbali na hiyo stend inabidi usafiri na hivyo utalala karibu na stend au utasafiri siku hiyo hiyo. Sasa mtu anakuambia sijui chanika mbali kwenda stend Mbezi. Toka mapema huko chanika wahi gari Mbezi au kalale lodge karibu na stend. Maendeleo ya ustraabu yanatuhitaji tubadilike.
Aisee leo ume comment, pokea like yangu Mkuu sana.Ukiangalia pale shekilango zile nyumba za NHC ofisi za mabus wana karibia kukodisha zote
Sasa hili shirika halijui kwamba pale sio sehemu sahh
Kwa hiyo na machinga nao waachiwe tu wauze bidhaa zao sehemu yoyote tu kisa wanarahisisha huduma? Kama umezunguka hii nchi hiyo stend inafikika kirahisi kabisa kutoka kila pande ya Dar es salaam.Ni kutoka sehemu gani utashidwa kabisa kwenda mbezi stend?Maendeleo na ustaarabu ni huduma kurahisishwa na kumfikia mtumiaji bila changamoto na ndicho wanachokifanya wenye mabus
Haya kwa mantiki yako hiyo stendi ya Mbezi ipo center?
Kwenye hili watu wa mabus wapo na upper hand na hamna kitu wataweza kufanya kuwazuia