HAYA, mambo yanazidi kuwa vinyo vinyo, dhidi ya Chalamila, wamiliki wa Mabasi nao wamgomea

HAYA, mambo yanazidi kuwa vinyo vinyo, dhidi ya Chalamila, wamiliki wa Mabasi nao wamgomea

Ndo Maana naulizaa.... PM anafanya nini ofisini hadi sasa!?
Ajiondoe harakaa
 
Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?

2026
Mtaalamu mtafiti wa usafirishaji, atoa suluhu ya kupambana na foleni ya vyombo vya usafirishaji ktk mjini / jiji kubwa

Mzizi wa tatizo la foleni jijini Accra limeelezwa.


View: https://m.youtube.com/watch?v=9xG6_BE_bps
Ondoa bajaji, ondoa viHiace, ondoa mabasi madogo barabara vitakuwa na msongamano mdogo

Accra ina tatizo kubwa la trafiki kiasi kwamba baiskeli inaweza kupita gari Ijumaa jioni na inagharimu jiji mamia ya mamilioni ya sarafu ya fedha ya cedi kila mwaka, na watu wanaolipa bei kubwa zaidi ni Waghana wa kawaida wanaosimama kwenye jua kila asubuhi wakijaribu tu kufika kazini, majumbani au kusafiri kwenda mikoani

Tulitumia mwezi mmoja tukichunguza historia ya jiji hili kuanzia mipango miji ya kikoloni ya Uingereza, hadi kuzaliwa kwa bahati mbaya kwa vitongoji vikubwa vya Accra, hadi kuibuka kwa foleni ili kuelewa jinsi tulivyofika hapa na jinsi suluhisho halisi linavyoonekana.

Haya ndiyo yote unayohitaji kujua kuhusu mgogoro wa usafiri wa foleni isiyosogea jijini Accra.

Filamu hii iliongozwa na kutayarishwa na shaunn armah Utafiti na Kwadwo Sika
 
18 August 2026

UCHANGANAUZI 18/8/2026 | Je, utatuzi wa kero ya malori yanayopaki kiholela barabarani ni nini?

View: https://m.youtube.com/watch?v=z7ADN1WVOVM
Msongamano wa malori na mengine kuegeshwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara imekuwa ni kikwazo cha shughuli nyingi. Hali hiyo kuna nyakati imekuwa sababu ya foleni zisizo na mwisho kutokana na malori hayo kuegeshwa maeneo yasiyotakiwa. Kufuatia hali hiyo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila ametaka Jeshi la Polisi kuunda Kikosi Maalum kitakachokamata madereva wanaofanya hivyo.
 
hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya wote watakao kiuka utaratibu 🐒
ZILAANIWE SHAHAWA CHAFU ZA B
Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?
ZILAANIWE SHAHAWA CHAFU ZA BABA YAKO ALIZOMKOJOLEA MAMA YAKO UKAZALIWA ***** TLAATLAH LUCAS MWASHAMBWA
 
Watu wa Dar acheni ubishi stendi haiwezi kuwa karibu na kila mtu. Mikoani stend zipo centre za wilaya, hivyo ukiwa mbali na hiyo stend inabidi usafiri na hivyo utalala karibu na stend au utasafiri siku hiyo hiyo. Sasa mtu anakuambia sijui chanika mbali kwenda stend Mbezi. Toka mapema huko chanika wahi gari Mbezi au kalale lodge karibu na stend. Maendeleo ya ustraabu yanatuhitaji tubadilike.
Ustaarabu au ujinga. Tofautisha ustaarabu na ujinga. Ujinga ni kulazimisha Dar iwe kama mpanda mjini. Dar inawatu milioni Tano halafu unalazimisha stendi iwe Moja, huo ni ujinga na upumbavu.
 
Kwa hiyo na machinga nao waachiwe tu wauze bidhaa zao sehemu yoyote tu kisa wanarahisisha huduma? Kama umezunguka hii nchi hiyo stend inafikika kirahisi kabisa kutoka kila pande ya Dar es salaam.Ni kutoka sehemu gani utashidwa kabisa kwenda mbezi stend?
Tunalalamika miji kutopangwa lakini hatutaki kubadilika. Stendi ya Magufuli ni sehemu inayofikika na serikali isiongeze stendi nyingine hapo dar na hizo hela zifanye maendeleo mengine huko mikoani.
Inafikika kutoka wapi?. Mbezi ipo mpakani na wilaya Kibaha halafu unadai inafikika kutoka Kutoka Dar. Punguza uongo
 
Tuwe na stand angalau nne za mabasi ya mikoani.

Tujenge mbagala stand kubwa na ya kisasa.

Chanika inahitajika haraka au ikiwezekana ianzie mvuti. Kuondoa tatizo la miaka 20 ijayo

Mbande hapa itakuwa umesolve pakubwa.

Kigamboni hili lipo wazi

Tegeta/bunju

Tengeneza Ring road ya kuunganisha mbagala na gongo la mboto kwa kuapugrade hii njia kwenda njia nne(hii ndio ring road ya dar es salaam)

Boresha njia ya Kutokea magufuli.

Boresha magufuli tegeta

Hii itasaidia mabasi kuizunguka pembezoni mwa dar kwa vitongoji vyote bila kuingia mjini.

Tuwaze maboresho
 
Ustaarabu au ujinga. Tofautisha ustaarabu na ujinga. Ujinga ni kulazimisha Dar iwe kama mpanda mjini. Dar inawatu milioni Tano halafu unalazimisha stendi iwe Moja, huo ni ujinga na upumbavu.
Kupanga ofisi ziwe wapi ,masoko yawe wapi, stendi ziwe wapi ni ustaarabu lakini kurahisisha huduma kwa kila mtu ni jambo lingine.

Hakuna anaetaka Dar iwe kama mpanda lakini maendeleo yake mengine inabidi isubiri ili kutatua matatizo mengine sehemu mbali mbali za nchi.
 
Inafikika kutoka wapi?. Mbezi ipo mpakani na wilaya Kibaha halafu unadai inafikika kutoka Kutoka Dar. Punguza uongo
Inafikika kutoka kila pande ya Dar either kwa direct toka ulipo au kwa kuunga. Tatizo unataka kila mtu akitoka mahali alipo afike bus stand ndani ya nusu saa. Kwa hiyo mji uharibike sababu ya hilo au tuvumilie ije pole pole?
 
Kama kweli magari yote yatapakia Magufuri

Kunaenda kutokea congestion ya hatari.
Patakua sehemu ya ovyo sana.
Mabus+Abiria+ wapiga debe+ wamachinga.
Panaweza kuwa kama Kariakoo.
Mwisho wa siku wananchi ndio watateseka.
 
Inafikika kutoka kila pande ya Dar either kwa direct toka ulipo au kwa kuunga. Tatizo unataka kila mtu akitoka mahali alipo afike bus stand ndani ya nusu saa. Kwa hiyo mji uharibike sababu ya hilo au tuvumilie ije pole pole?
Ila kutumia masaa mawili kufika mbezi ndio vizuri?
Yaani unaenda Moro muda unautumia kutoka nyumbani hadi kufika stendi ni zaidi ya muda utakao utumia kifika Moro.
 
Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?
hoja ya kipuuzi kabisa...
kwani kama alidanganywa hawezi kurekebisha makosa?
 
Back
Top Bottom