Shida ya mtu kuwa mwongo- mwongo na kuwa miongoni mwa wahalifu credibility inaondoka. Hata siku ukiwa na agenda ya maana watu hawakuamini tenaKupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?
Hii amri ya Chalamila natamani Rais Samia akazie ili upigiliwe msumari wa mwisho, Chalamila yupo sahihi apongezwe
NakaziaMtu na mzigo chanika/Kigamboni kiloo 100 tu, atafikaje Mbezi kimara na gharama zitakuwaje? Watu wa mabasi wanawasaidia waananchi, lakini wananchi wenyewe wana akili mavi kama wewe
Mkuu 'raraa reree' huwa hasomi; kazi yake ni kuweka tu alama za 'like' kwa kila kilichoandikwa'Aisee leo ume comment, pokea like yangu Mkuu sana
Wewe akili hunaInafikika kutoka kila pande ya Dar either kwa direct toka ulipo au kwa kuunga. Tatizo unataka kila mtu akitoka mahali alipo afike bus stand ndani ya nusu saa. Kwa hiyo mji uharibike sababu ya hilo au tuvumilie ije pole pole?
Pale unapovimba na cheo kikubwa halafu unafundishwa kazi na mtu ambaye hana cheo
Dar es Salaam ina wilaya 5 kwanini Mabasi yasifike wilayani yanalazishwa yaishie stendi ya mkoa tu?Watu wa Dar acheni ubishi stendi haiwezi kuwa karibu na kila mtu. Mikoani stend zipo centre za wilaya, hivyo ukiwa mbali na hiyo stend inabidi usafiri na hivyo utalala karibu na stend au utasafiri siku hiyo hiyo. Sasa mtu anakuambia sijui chanika mbali kwenda stend Mbezi. Toka mapema huko chanika wahi gari Mbezi au kalale lodge karibu na stend. Maendeleo ya ustraabu yanatuhitaji tubadilike.
Lakini vipi kuhusu mikoani magari yanakotoka? Si abiria wakiwa na mizigo yao wanayafuata mabasi stendi bila kujali umbali uliopo kati ya majumbani kwao mpaka stendi? Hizo kilo 100 zinafikaje stendi? Au basi linamfuata abiria nyumbani? Mfano, mtu aliyepo Mbalizi - Mbeya, anasafiri kwenda Mwanza, stendi ipo nanenane, anafuata basi huko. Iweje kwa Dar isiwezekane?Mtu na mzigo chanika/Kigamboni kiloo 100 tu, atafikaje Mbezi kimara na gharama zitakuwaje? Watu wa mabasi wanawasaidia waananchi, lakini wananchi wenyewe wana akili mavi kama wewe
Hawa wanajuana ugomvi wao watamaliza wenyewe.18 August 2026
WAMILIKI MALORI WATISHIA KUGOMA, WANAKAMATA MALORI WANASUMBUA MADEREVA
View: https://m.youtube.com/watch?v=DgqXw2AWOnU
Mbona SGR mnaenda na vifurushi vyenu?Mtu ana mzigo chanika/Kigamboni kilo 100 tu, atafikaje Mbezi kimara na gharama zitakuwaje? Matajiri wa mabasi wanawasaidia waananchi, lakini wananchi wenyewe wana akili mavi kama wewe
Wanadeka sanaWatu wa Dar acheni ubishi stendi haiwezi kuwa karibu na kila mtu. Mikoani stend zipo centre za wilaya, hivyo ukiwa mbali na hiyo stend inabidi usafiri na hivyo utalala karibu na stend au utasafiri siku hiyo hiyo. Sasa mtu anakuambia sijui chanika mbali kwenda stend Mbezi. Toka mapema huko chanika wahi gari Mbezi au kalale lodge karibu na stend. Maendeleo ya ustraabu yanatuhitaji tubadilike.
Hii ni hoja mfuIla kutumia masaa mawili kufika mbezi ndio vizuri?
Yaani unaenda Moro muda unautumia kutoka nyumbani hadi kufika stendi ni zaidi ya muda utakao utumia kifika Moro.
Dar es Salaam ina wilaya 5 kwanini Mabasi yasifike wilayani yanalazishwa yaishie stendi ya mkoa tu?
Wewe hujali ustaarabu umejaa ubinafsi hutaki miji ya nchi yako ipangiliwe vizuri.Wewe akili huna
Hujali muda
Hujali gharama
Ubinafsi unakusumbua
Ipangwe kwenye kipi?Wewe hujali ustaarabu umejaa ubinafsi hutaki miji ya nchi yako ipangiliwe vizuri.
Huu mji ulishakosewa plan miaka mingi sana.Tuwe na stand angalau nne za mabasi ya mikoani.
Tujenge mbagala stand kubwa na ya kisasa.
Chanika inahitajika haraka au ikiwezekana ianzie mvuti. Kuondoa tatizo la miaka 20 ijayo
Mbande hapa itakuwa umesolve pakubwa.
Kigamboni hili lipo wazi
Tegeta/bunju
Tengeneza Ring road ya kuunganisha mbagala na gongo la mboto kwa kuapugrade hii njia kwenda njia nne(hii ndio ring road ya dar es salaam)
Boresha njia ya Kutokea magufuli.
Boresha magufuli tegeta
Hii itasaidia mabasi kuizunguka pembezoni mwa dar kwa vitongoji vyote bila kuingia mjini.
Tuwaze maboresho
Watu wa Dar acheni ubishi stendi haiwezi kuwa karibu na kila mtu. Mikoani stend zipo centre za wilaya, hivyo ukiwa mbali na hiyo stend inabidi usafiri na hivyo utalala karibu na stend au utasafiri siku hiyo hiyo. Sasa mtu anakuambia sijui chanika mbali kwenda stend Mbezi. Toka mapema huko chanika wahi gari Mbezi au kalale lodge karibu na stend. Maendeleo ya ustraabu yanatuhitaji tubadilike.