tena..uko makini baby shemamina dear, we naweeee u na haraka anza Mungu na herufi kubwa bhana
teh teh
Unaweza kuzimia nakwambia kuna siku
Tumekaa kwenye kikao cha familia aiseee kuna mtu akanyambaa niliangua bonge la kichekooo watu wote wakasema mm ndo nimenyamba
Ikabid nikubali tu kuuua sooo
Kwanza ilibidi ajikaushe asicheke.Hahahaaaaaaa. Duuh.
Katika ubora wako kaka ake GuDume. Yaani nimecheka kuanzia mwanzo hadi namaliza kusoma duuh.
Ila huyo mdada ana moyo wake aisee yaani kwa jinsi ulivyombamba bado kapata nguvu ya kukujibu. Lol.
Kwenye mambo hayo, mdogo anakuwa jalala.Unaweza kuzimia nakwambia kuna siku
Tumekaa kwenye kikao cha familia aiseee kuna mtu akanyambaa niliangua bonge la kichekooo watu wote wakasema mm ndo nimenyamba
Ikabid nikubali tu kuuua sooo
Kweli kabisa yaani. Kuanza kujichekesha ndio mwanzo wa yote hayo.Kwanza ilibidi ajikaushe asicheke.
Nakuja baada ngoja mvua ikatikeHa ha ha.... Nipo mwanza toka jana jioni.
Haujui kumboa mtu humu......endelea hivo hivo kutupa rahaNashukuru mamie kama unaburudika...
Hahahhahahaaaaaaaa hiyo ni aibu balaa lazima ujulikane ni wewe tuMimi huwa najiuliza pia bila kupata majibu, ukiwa peke yako sehemu na ukitoa gesi ghafla mtu au watu wanajitokeza na wanakuta ndio uvundo bado wa moto unasambaa taratibu .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa joto la huku nitaanza kujipepea kupoteza shooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhahahaaaaaaaa hiyo ni aibu balaa lazima ujulikane ni wewe tu
Hahahahahaaaaa sio kwa kupotezea huko jamaniKwa joto la huku nitaanza kujipepea kupoteza shooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena muda huo huo unaingiza story za ghafla na unakuwa muongeaji sana ili kupoteza attention juu ya uvundo, na hata kama atajua lazima apige kimya.Hahahahahaaaaa sio kwa kupotezea huko jamani