Haya mambo yasikie kwa wengine.Huyu dada alitamani ardhi ifunguke Immeze. Leo hii ana Ushuhuda mwingine

Haya mambo yasikie kwa wengine.Huyu dada alitamani ardhi ifunguke Immeze. Leo hii ana Ushuhuda mwingine

Next story ya gudume ni NIMEMGEDA DADA NILIYEKUTANA NAE KWENY LIFT..
 
Ha ha ha.... Nipo mwanza toka jana jioni.

Halaf hua hivyo ukijamba tu peke yako unashangaa mtu anakuja sijui kwanini,
Nakusubiria ukija Mwanza kwenye zile lift pale.......... ntakujambia buuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ulijisikia raha mwenyewe...

Hahahahaha umenikumbusha siku niliyonyambaa ushuzi ukapita kwenye papuchi nikasikia tu tetemeko kwenye mashavuuu prprprprppararapararrr

Asikwambie mtu kunyamba ni kitu kingine
 
Ha ha ha..... Hatari hiyo. Kikao kinaweza vunjika...

Unaweza kuzimia nakwambia kuna siku

Tumekaa kwenye kikao cha familia aiseee kuna mtu akanyambaa niliangua bonge la kichekooo watu wote wakasema mm ndo nimenyamba

Ikabid nikubali tu kuuua sooo
 
Hahahaaaaaaa. Duuh.

Katika ubora wako kaka ake GuDume. Yaani nimecheka kuanzia mwanzo hadi namaliza kusoma duuh.

Ila huyo mdada ana moyo wake aisee yaani kwa jinsi ulivyombamba bado kapata nguvu ya kukujibu. Lol.
Kwanza ilibidi ajikaushe asicheke.
 
Dhaaaaaaaa hz story zako cjui hua unaztoa wap
 
JF ukiangalia vizuri utagundua kila mtu ana hela na ana kazi nzuri......hakuna shida!
 
Mimi huwa najiuliza pia bila kupata majibu, ukiwa peke yako sehemu na ukitoa gesi ghafla mtu au watu wanajitokeza na wanakuta ndio uvundo bado wa moto unasambaa taratibu .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kutoa ushuzi ukiwa peke yako ni raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena kwa ile style ya kubinua kalio moja halafu unausikilizia ushuzi ukitoka taratibuu, halafu harufu hata iwe kali kiasi gani wewe utaihisi ni ya kawaida
 
Mimi huwa najiuliza pia bila kupata majibu, ukiwa peke yako sehemu na ukitoa gesi ghafla mtu au watu wanajitokeza na wanakuta ndio uvundo bado wa moto unasambaa taratibu .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahhahahaaaaaaaa hiyo ni aibu balaa lazima ujulikane ni wewe tu
 
Back
Top Bottom