Haya mambo yasikie kwa wengine.Huyu dada alitamani ardhi ifunguke Immeze. Leo hii ana Ushuhuda mwingine

Na kweli nimegundua hata mimi ilishawahi kunitokea😀😀😀 na kuna mtu nilishawahi kumbamba pia😛😛😛😛
 
inategemea.. unajua unapofany akitu halafu mtu akagundua kuwa umefanya tena kitu chenyewe chaku embarrass sometime unajikut aunacheka.. has anamba ambavyo nlikuwa na mchokoza... but asingecheka ile issue ingemuumiza zaid kiakili but akaigeuza ikaw afunny and we became friends. kinyume na hapo angekuwa kila akiniona anakumbuka ile issue na pengine anahisi nimemwambia mtu mwingine hasa kama nitaonana naye nikiwa nipo na mtu mwingine.ingetengeneza ka uadui flani hivi.
Kwanza ilibidi ajikaushe asicheke.
 
hili suala ni kweli sijui inakuwa imekaaje hii hali .... ukimaliza tu unakuta na watu au mtu anaingia sehemu husika.. unajisikia aibu sana.sema sisi wengine tumeshakua hatufanyi hicho kitendo

 
aaah dada yangu macho kuvimba huwa hawakosekani katika maisha haya........... hao unakuta mijicho imevimba mud awote utadhani inataka kutumbuka na midomo na mashavu yao yanacheza cheza kama wanatafuna moto.... wakiona tu thread ya gudume wanapatwa na kichefu chefu na tumbo la kuhara... anyway mimi hawanisumbui ila tu huwa napatwa na huruma maana wanaishi kwa mateso sana.

Haujui kumboa mtu humu......endelea hivo hivo kutupa raha
 
Nachokupendea huwa haujali na unaishi maisha yako hata kama unatudanganya or ni kweli! Hatuwezi kukubadilisha ndo umeshaamua kuwa hivo
 
ni kweli Curious gal no body can change me... na maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua.. unachagua kuwa unachopenda then una enjoy maisha. mimi kutokana na aina yangu ya maisha najikuta nakutana na mambo mengi sana yakiwemo majanga na mabalaa yalozagaa kila kona ya dunia hii.

Nachokupendea huwa haujali na unaishi maisha yako hata kama unatudanganya or ni kweli! Hatuwezi kukubadilisha ndo umeshaamua kuwa hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…