Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sawa. Uwe na asubuhi njema.Nipo sana; wakati mwingine inakuwa harakati za kikazi tu...shukrani sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Uwe na asubuhi njema.Nipo sana; wakati mwingine inakuwa harakati za kikazi tu...shukrani sana.
Na kweli nimegundua hata mimi ilishawahi kunitokea😀😀😀 na kuna mtu nilishawahi kumbamba pia😛😛😛😛Hii starehe mara nyingi huwa inaingiliwa na vikwazo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana mtu mzima kama alikuwa peke yake akaanza kujisevia hii starehe, ghafla akaingia mtoto hapo lazima amtoe nduki kwa kumtuma ili atoke asiharibu shoo
HahahahahahaaaaNa kweli nimegundua hata mimi ilishawahi kunitokea😀😀😀 na kuna mtu nilishawahi kumbamba pia😛😛😛😛
Asante sana kwa kuniombea dadaangu....nawe pia.Sawa. Uwe na asubuhi njema.
Kwanza ilibidi ajikaushe asicheke.
Mimi huwa najiuliza pia bila kupata majibu, ukiwa peke yako sehemu na ukitoa gesi ghafla mtu au watu wanajitokeza na wanakuta ndio uvundo bado wa moto unasambaa taratibu .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KabisaaaKwenye mambo hayo, mdogo anakuwa jalala.
Amiin Kaka.Asante sana kwa kuniombea dadaangu....nawe pia.
Allah abariki kazi ya mikono yako inshaallah.
UmeonaeeeeKabisaaa
Haujui kumboa mtu humu......endelea hivo hivo kutupa raha
Mm hata niwe ma mpenzi wangu najiachia tu sipendagi ujingaUmeonaeeee
Kwa mpenzi wako uko sahihi...nyie ni mwili mmoja.Mm hata niwe ma mpenzi wangu najiachia tu sipendagi ujinga
ShukraniAmiin Kaka.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahahaaaaa acha tuHahahahahahaaaa
Kwa hili wote tunapitia
Hahaaaaaaa Gudume wewe
Nachokupendea huwa haujali na unaishi maisha yako hata kama unatudanganya or ni kweli! Hatuwezi kukubadilisha ndo umeshaamua kuwa hivoaaah dada yangu macho kuvimba huwa hawakosekani katika maisha haya........... hao unakuta mijicho imevimba mud awote utadhani inataka kutumbuka na midomo na mashavu yao yanacheza cheza kama wanatafuna moto.... wakiona tu thread ya gudume wanapatwa na kichefu chefu na tumbo la kuhara... anyway mimi hawanisumbui ila tu huwa napatwa na huruma maana wanaishi kwa mateso sana.
Yan nimepita tu kwenye huu uz aiseee na kijambo kimenipitiaKwa mpenzi wako uko sahihi...nyie ni mwili mmoja.
Halafu ni dalili ya kuwa na;Yan nimepita tu kwenye huu uz aiseee na kijambo kimenipitia
Nimeachia bonge la mnyambooo mpak nimeona aibu peke yangu
Nachokupendea huwa haujali na unaishi maisha yako hata kama unatudanganya or ni kweli! Hatuwezi kukubadilisha ndo umeshaamua kuwa hivo