Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahaaa umenikumbusha mbali sana.
Tulikuwa FoE (siku hizi COeT) tunafanya UE pale A4 kama sijakosea. Dr. Mvungi wakati huo ndo anatusimamia. Kuna mwamba alikuwa anaitwa Stephano, alikuwa na desa lake analitumia. Wakati huo Mvungi yupo kwenye ngazi za kuelekea juu kwenye ofisi za mkuu wa idara ya umeme.
Si akamwona mwamba anadesa. Akashuka fasta. Jamaa akachukua karatasi tupu akaifinyanga na kuitupa dirishani kwa nje. Mvungi akaiwahi I karatasi, kumbe tupu. Jamaa akalimeza desa lake. Ushahidi ukapotea.
Malaika walisimama na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilibaki kidogo nikamatwe nikakiweka katikati ya mapaja nikaambiwa simama hapo hapo [emoji23] washikaji ndio walikiona baadae nikakitoa nikaendelea na kazi yangu
Huyo engineer wa UE🤣🤣🤣Ahahahahaaa umenikumbusha mbali sana.
Tulikuwa FoE (siku hizi COeT) tunafanya UE pale A4 kama sijakosea. Dr. Mvungi wakati huo ndo anatusimamia. Kuna mwamba alikuwa anaitwa Stephano, alikuwa na desa lake analitumia. Wakati huo Mvungi yupo kwenye ngazi za kuelekea juu kwenye ofisi za mkuu wa idara ya umeme.
Si akamwona mwamba anadesa. Akashuka fasta. Jamaa akachukua karatasi tupu akaifinyanga na kuitupa dirishani kwa nje. Mvungi akaiwahi I karatasi, kumbe tupu. Jamaa akalimeza desa lake. Ushahidi ukapotea.
Simbi ilikuwa commona sana SUA sijui siku hizi!!!!Hello lads and ladies.
Legends!!
Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake.
Wakali wa vizenga, dessa, simbi kwenye soksi , chooni, network collabo za chooni, signal kama zote. Wale ambao hawakuwahi kutumia desa au kuomba majibu Kwa majirani wote. Wasomea kijiji na makanisa karibuni.
Mimi kazi yangu ilikuwa kuwasumbua wasimamizi ili washikaji wapate muda wa kuibiana.
Flow your flashbacks here.
Kuna wenye umaarufu wao
Mkali wa coursework, Mkali wa UE, Mzee wa kubalance, mfuasi wa sup, bila sup anaumwa.
Wadiz
Umetisha Mzee wa Dark city na kididimo, Vipi kwa SiscoSimbi ilikuwa commona sana SUA sijui siku hizi!!!!
Neno simbi ni kutoka neno Symbiosis.
Maana yake
Symbiosis, any of several living arrangements between members of two different species, including mutualism, commensalism, and parasitism. Both positive (beneficial) and negative (unfavourable to harmful) associations are therefore included, and the members are called symbionts.
Mwamba huyo huyo alikuwa na kipaji cha kuandika fasta sana. Tukiingia naye kwenye test, yeye anagawa tu maswali. Utamsikia Bantu Lady nisaidie swali la kwanza, Evelyn Salt nisaidie swali la pili, Mshana Jr nisaidie swali la tatu, mpaka yote yaishe. Sasa akiarudishiwa majibu anaandika fasta kama mashine. Sasa ile mara ya kwanza si akawa wa kwanza..!!! Akaanza kutamba kwamba darasa lina vilaza hadi yeye anakuwa wa kwanza..!!! KWANI ALISAIDWA TENA.!!Ahahahahaaa umenikumbusha mbali sana.
Tulikuwa FoE (siku hizi COeT) tunafanya UE pale A4 kama sijakosea. Dr. Mvungi wakati huo ndo anatusimamia. Kuna mwamba alikuwa anaitwa Stephano, alikuwa na desa lake analitumia. Wakati huo Mvungi yupo kwenye ngazi za kuelekea juu kwenye ofisi za mkuu wa idara ya umeme.
Si akamwona mwamba anadesa. Akashuka fasta. Jamaa akachukua karatasi tupu akaifinyanga na kuitupa dirishani kwa nje. Mvungi akaiwahi I karatasi, kumbe tupu. Jamaa akalimeza desa lake. Ushahidi ukapotea.
Muoga sana wewKuna kitu nilishindwa kabisa kwenye chumba cha mtihani. CHEATING ya aina yeyote ile nilikua siwezi, nakumbuka kuna pepa nikaingilia kijiji cha watu nikapewa sharti la kutoa majibu mbele kupeleka nyuma, nilishindwa wale wa nyuma yangu wote walipata sup 😁. Kuanzia hapo nikawa nakimbiwa
Sio kwamba ni muoga, tofautisha hali ya kutokuweza jambo na uoga yani nilikua siwezi.Muoga sana wew