Zamu hii Magu kawafanya waunde kwaya za kumsifia ,kila sehemu wachumia tumbo wanamsifia.
Nimeshangaa kuona kampeni mbeya kwaya ya kanisa kuhudhuria kampeni na kuimba wimbo wa kumsifu magu.
Yaani hata kwaya za makanisa yanatumika kisiasa
Hivi kwanini mnaona wanaomsifia Magu kuwa wamepangwa, ni waoga na mioyoni hawampendi??
Yaani nyie mna uwezo wa kuona ndani ya mioyo ya watu kuwa hawampendi Magu lakini hamuwezi kuona ndani ya mioyo hiyo hiyo kuwa wanampenda??
Ukitaka demokrasia kubali pia demokadhia..[emoji53][emoji53]