Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili.
Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya wachache"
Mwisho wa kunukuu!
Taikon nilitaka kubisha Kama ilivyokawaida yangu, lakini Yule Mzee akanizuia kusema, akasema; ubishi ni mzuri ikiwa lengo lake ni kujifunza, halikadhalika na kukaa kimya ni kuzuri Kama lengo lake ni kujifunza.
Akaniambia nikae kimya .
Maneno haya yanamaana gani Wakuu?
Tshs 1.5Trilioni.Jaribu Kufikiria Tozo Za Miamala Walitangaza once Mwezi Ule wa Kwanza Wamekusanya Bil. 48... Sasa Zinapigwa POLE POLE kimya kimya na Wajanja Wachache.
Mmang'ati unatabu sana wewe!Sgang mmechachamaa kweli
Nendeni mkazikwe naye kwenye kaburi lake..
Ni maneno ya wajinga wengi wa nchi hii waliodanganyika vilivyo wakifikiri kwa akili zao finyu eti Magufuli alikuwa kiongozi mzuri!!!Kwema Wakuu!