Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili.
Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya wachache"
Mwisho wa kunukuu!
Taikon nilitaka kubisha Kama ilivyokawaida yangu, lakini Yule Mzee akanizuia kusema, akasema; ubishi ni mzuri ikiwa lengo lake ni kujifunza, halikadhalika na kukaa kimya ni kuzuri Kama lengo lake ni kujifunza.
Akaniambia nikae kimya .
Maneno haya yanamaana gani Wakuu?