Kila akiwa na mpenzii my love 'my king 'my sweet hata kwa Prezo ilikua hivhiviii kwa zito kabwe alipambwa kwelii anafaa kua raisiii leo yako wapiiii hahhha hajatulia halaf wote anawapata kwenye hizo interview akitoka Gk atakuja msanii mwingine akienda tu kuhojiwaa nae atapitaa na atabaki kusema love at first sight
Sorry. Its SMDH-Shaking My Damn Head.
Diva yumo humu kweli mkuu?
This is a sign that you too might need an interview.:tape:
Bro Zitto ndo alikua ana kaza hapo
Now amiri jeshi mkuu wa ECT ARMY ndo anaoa kabisa.
so ni shemeji bado.
AM EAST COAST ARMY'S DIE HARD FAN!
hahahahah! Umeona eeeh! Wabongo ndivyo tulivyo!