Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

picha zake zote nilizowahi kuziona ni za usoni tu.......

diva.jpg
 
kwajinsi ulivyo mkali wa picha lazima tukuinterview,ila mbona uzi huu hujaleta picha?? au ndo unaogopa utapigwa chini??

kweli mkuu tupia picha! Hasa ya huyu diva. Maana naskia ni kisu noma.
 
Kila akiwa na mpenzii my love 'my king 'my sweet hata kwa Prezo ilikua hivhiviii kwa zito kabwe alipambwa kwelii anafaa kua raisiii leo yako wapiiii hahhha hajatulia halaf wote anawapata kwenye hizo interview akitoka Gk atakuja msanii mwingine akienda tu kuhojiwaa nae atapitaa na atabaki kusema love at first sight

kwa kabila lake wala sishangai ngoja nami niombe intavyuu
 
Diva yumo humu kweli mkuu?

This is a sign that you too might need an interview.:tape:

ila mshua wake yupo humu alikua anatumia bishanga cjui kama walimverify maana alipokua anatafta urais akatoa na link hyo
 
watu mnaponda!!!!!ila mkiitwa nyinyi hivyo meno yote nje..
 
Bro Zitto ndo alikua ana kaza hapo

Now amiri jeshi mkuu wa ECT ARMY ndo anaoa kabisa.

so ni shemeji bado.

AM EAST COAST ARMY'S DIE HARD FAN!

Mhe. Naomi Kaihula jiandae Mkwe ndio keshajilengesha kwa mwanao na anataka kabla mwaka huu haujaisha akuletee mjukuu. .
 
Diva hana lolote na kipindi anacho endesha hapo mawingu n upuuzi mtupu,smpendi sana huyu dada.Kanapenda wanaume huuenda kanapepo la ngono haka ka mdada.Kangekaa na fety akashauri maana hakajielewi.
 
Kwako KING na vijana wengine, kuwa makini na wanawake wanaokukubalia wakati wanajuauna uhusiano na mtu mwingine na wakati huohuo nae ana uhusiano na mwingine that wo'nt be real love.
 
Back
Top Bottom