kwan kabila gani huyu mtoto jamani.
Kila akiwa na mpenzii my love 'my king 'my sweet hata kwa Prezo ilikua hivhiviii kwa zito kabwe alipambwa kwelii anafaa kua raisiii leo yako wapiiii hahhha hajatulia halaf wote anawapata kwenye hizo interview akitoka Gk atakuja msanii mwingine akienda tu kuhojiwaa nae atapitaa na atabaki kusema love at first sight
ahaaa kumbe ni akina rweyemamu holygrail!!
hahahaa mkui agiza chochote hapo ulipo ntalipa kea Tigo Pesa
ndo maana watu wanapita nae sana tena c unajua kipindi chake ile radio ya wafu ni usiku yaan mida ya kazi akikuita tu kwa ajili ya intavyuu hua wanamchapia pale pale studio yaan hadi raha c unajua utam wa kuchapia apart from 6/6
ana tabia ya kutongoza wanaume mastaa ili awe maarufu
kwani akina bishanga bashaija kabila gani kamanda
miguu ya vigimbi na mwanamme wake zlipendwa huyo