Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Huyo "Boyfriend mtu mzima kidogo" ni nani?
 
Somo la fursa nadhani linalotolewa na ofisi yake alilielewa kwa style nyingine, hivyo na yeye anatumia fursa kupata wake wa ubani
 
Kama mtu ana picha za diva na gk aweke tusiomjua tudhaminishe
 
sasa angechagua makubwa GK angempa???,?,??, na wakati uwezo wake ni ice cream
Mwanzo huwa wengine wanajifanya hawana makuu, ukimpelekea apple kadhaa, juice, soseji, pringles anakusifia kweli kumbe anakulia timing baadae anaungurumisha mzinga wa haja, King akiingia mitini anakuja na story zingine wakati huo yupo na Jodoki
 
meona eeeeh
 
kwa kabila lake wala sishangai ngoja nami niombe intavyuu
Kwani kabila gani? yeye si mtu wa Tanga (amefuata kabila la mama nadhani) maana baba yake si huyu president wa T.F ambae ni mwenyeji wa BK
 
Uzur wa mwanamke ni tabia huyo anae owa hasara yk kesho tutasikia mengine tamaa zinawaponza
 
Tatzo lake matangazo mengi angesubir ndoa ikarbie aweke matangazo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…