Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaaa kumbe ni akina rweyemamu holygrail!!
ha!ha!haa mnamchokoza mbebez ngoja aje.
hako kadada kananichefua sitakagi hata kukaona
Hivi ukiambiwa uchague ice cream vanila na Sony Z 2 unachagua nini.
sasa angechagua makubwa GK angempa???,?,??, na wakati uwezo wake ni ice cream
Somo la fursa nadhani linalotolewa na ofisi yake alilielewa kwa style nyingine, hivyo na yeye anatumia fursa kupata wake wa ubaniKila akiwa na mpenzii my love 'my king 'my sweet hata kwa Prezo ilikua hivhiviii kwa zito kabwe alipambwa kwelii anafaa kua raisiii leo yako wapiiii hahhha hajatulia halaf wote anawapata kwenye hizo interview akitoka Gk atakuja msanii mwingine akienda tu kuhojiwaa nae atapitaa na atabaki kusema love at first sight
Hahhhahhha eti anapenda vitu vidogo vidogo hapa ni unafikii kuna hapendi vikubwaa lol
Mwanzo huwa wengine wanajifanya hawana makuu, ukimpelekea apple kadhaa, juice, soseji, pringles anakusifia kweli kumbe anakulia timing baadae anaungurumisha mzinga wa haja, King akiingia mitini anakuja na story zingine wakati huo yupo na Jodokisasa angechagua makubwa GK angempa???,?,??, na wakati uwezo wake ni ice cream
Mwanzo huwa wengine wanajifanya hawana makuu, ukimpelekea apple kadhaa, juice, soseji, pringles anakusifia kweli kumbe anakulia timing baadae anaungurumisha mzinga wa haja, King akiingia mitini anakuja na story zingine wakati huo yupo na Jodoki
Kwani kabila gani? yeye si mtu wa Tanga (amefuata kabila la mama nadhani) maana baba yake si huyu president wa T.F ambae ni mwenyeji wa BKkwa kabila lake wala sishangai ngoja nami niombe intavyuu
Mdada anamakasheshe huyu!!!