Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kama nilishaila kwann ninyimwe tena..?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mxiewwww!!
Kaona utakichakaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nilishaila kwann ninyimwe tena..?
Huyu mwamba naona kama alikuwa anahangaika yeye maana dah... 😂😂 dah angepumzisha vidole vyake tuu kuliko kupoteza wino wa simu 😂Mi hata sijaelewa
Umri wako miaka mingapi?Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁
Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka ukakamilika.
Hapo ilikuwa tunachat tu kwa huo mtandao, dada ni mzuri kiasi chake. Siku moja nikaona nisiweke usku saana, nikamwomba namba. Ajabu akachomoa na kejeli na status zikawekwa kunibonda kabisa nafsi yangu na kutojali hisia zangu.
Nikavumilia, nikazoea na nikapotezea kwa muda ila bado nilikuwa namuhitaji sana kwa maana I was really in love with her. Ikawa bahati kuna mwana anamjua, tukawa tunapiga story mara nikawa naangalia picha za mchuchu huyo kwa mtandao pendwa ule alizoweka kwa account yake.
Mwana akaniuliza umemwelewa, nikamwambia ndio na nikampa mpango mzima kuwa kuna moja na mbili. Akasema hili suala dogo, akaitafuta namba ya mtoto akaipata tena fasta, jamaa wana undugu na binti. Namba kupatikana jamaa akawa anamsalimia binti halafu akamchana mbona fulani aliomba hili ukamjibu mbovu nk?
Binti akasema kuna moja na mbili, mwana akaweka sawa mambo yakajipanga mtoto akakubali nipewe namba zake. Kilichofuata tukawa tunawasiliana kwa simu za kawaida, kupigiana na kutumiana sms au picha ikawa kawaida.
Siku zikasogea nikaomba game akawa analeta za kike ila akaelewa, akaja nilipo tukakaa wote magetoni kwangu zaidi ya wiki na siku 2 daily ilikuwa nikufanya mambo ya watu wakubwa. Ni mzuri na yupo vizuri, mambo yake matamu.
Akarudi mkoa wake tukawa tunawasiliana na mipango kedekede ikawa tunaipanga. Mara sijui akaanza kuwa busy usiku, nikambana kumuuliza hilo, mwanzo alikuwa anasema ni mdogo wake anaongea nae. Mwisho akasema kuna ex wake anamtafuta warudiane, mimi nikampa option achague mwenyewe maana hatuforce.
Kuanzia pale ikawa hatuna maelewano mazuri, akipiga simu nisipopokea anatuma sms nipo na malaya zangu. Nikaona huu ni upuuzi, hata muda wa kutafuta riziki niwe naongea na simu always.
Nikaona ananitafutaia kosa, mimi nikamuwahi kujitoa. Ikawa sijali kuhusu yeye, akiweka status naview halafu nakula kimya, simsifii wala kumkosoa. Aisee, akapanda inbox siku za mbele na kuanza kuuliza mbona nimebadilika, nikajibu ubusy tu hakuna kingine.
Siku zikaenda tena nikaanza kumtoa kwa mipango yangu, ila nilimwambia sioni kufika mbali na yeye, akawaka sana ila sikujali. Siku zikaenda mbeleni nikawa nakosa mtu sahihi nikajirudi kwake, akakaza kidogo, baada ya kuomba msamaha akakubali yakaishaa. Tukawa tunachat na kupigiana simu kama mwanzo. Siku moja nikampanga kuwa nitakuja mkoa aliopo, akaelewa na tukamaliza fresh.
Siku zikaenda maongezi yalikuepo nikiamini tutaonana nikifika mkoa wake. Ajabu nilipofika mkoa ule nikamwomba tuonane akajibu hapana. Ikawa simuelewi, nikaona kuna kuwekana sub hapa, poa nikawa tayari kwa hilo.
Ndani ya mwezi huo ikawa birthday yake nikiwa mkoa huo huo, ila aliniambia kama leo halafu kesho ndio birthday yake.
Nikamwomba tuwe wote usiku wa birthday yake na nimemiss, akajibu haiwezekani mimi namchezea tu na kufoka sana, nikajibu sawa. Akauliza zawadi? Nikamjibu hao uliokuwanao watakupa zawadi, usiku mwema. Zikawekwa status, nikaview bila kureply chochote.
Muda wa kukaa mkoa ule ukaisha nikasepa zangu mkoa wangu ninapoishi. Akawa ananitafuta napokea ila ile kujivuta, akawa anamind nikawa simuwekei attention tena. Siku zikaenda nikapata nafasi ya kurudi kikazi mkoa aliopo, nikamtaarifu kuwa nakuja tuonane akajibu hataki kuchezewa. Nikasema fine hii ya mwisho.
Wiki za juzi akanitafuta ooh naumwa, naomba moja na mbili mimi nikamwambia pole nenda hospotalini. Akajibu ashaenda, nikamwambia sawa kunywa dawa, kula ushibe na maji ya kutosha (Malaria).
Baada ya kuumwa anataka tuonane tena kwa kuona hajakosea na kujitetea kwa sana 😁😁😁, acha nicheke kidgo tena. Ikawa siku, majuma, mwezi! Ila kwasasa nimemtoa mazima, maana naona tulikua wengi halafu kuna washauri kibao ndani yake na kwa style hiyo hatutafika mbele.
Mshauri na maoni ruksa.
Demu alimgundua jamaa alikuwa hana mpango wowote wa mbeleni.Bro sema tu ulikuwa unataka utelezi kwake kuwa tu muwazi Na kweli mbali msingefika kwa hio style😀
Katisha sana jamaa 😂😂😂👏👏👏👏Kuna, mabingwa wa kutunza kumbukumbu, yaani unakumbuka kila kitu tangu mlipoanza, kha hongera.
We kwan mechi umeangalizia wapi 😅😂We mbwiga bado hujapewa ban [emoji23][emoji23][emoji23]
Gaza 😂😂😂We kwan mechi umeangalizia wapi 😅😂
Kama n huko mechi bado haijaanza 😂Gaza 😂😂😂
Kabisa maana hata story yake iko wazi kuwa alikuwa mpitajiDemu alimgundua jamaa alikuwa hana mpango wowote wa mbeleni.
Ongera boss zipige tuUtelezi mbele kaka. Unataka ahadi bila mzagamuano
Upo darasa la ngapi?Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁
Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka ukakamilika.
Hapo ilikuwa tunachat tu kwa huo mtandao, dada ni mzuri kiasi chake. Siku moja nikaona nisiweke usku saana, nikamwomba namba. Ajabu akachomoa na kejeli na status zikawekwa kunibonda kabisa nafsi yangu na kutojali hisia zangu.
Nikavumilia, nikazoea na nikapotezea kwa muda ila bado nilikuwa namuhitaji sana kwa maana I was really in love with her. Ikawa bahati kuna mwana anamjua, tukawa tunapiga story mara nikawa naangalia picha za mchuchu huyo kwa mtandao pendwa ule alizoweka kwa account yake.
Mwana akaniuliza umemwelewa, nikamwambia ndio na nikampa mpango mzima kuwa kuna moja na mbili. Akasema hili suala dogo, akaitafuta namba ya mtoto akaipata tena fasta, jamaa wana undugu na binti. Namba kupatikana jamaa akawa anamsalimia binti halafu akamchana mbona fulani aliomba hili ukamjibu mbovu nk?
Binti akasema kuna moja na mbili, mwana akaweka sawa mambo yakajipanga mtoto akakubali nipewe namba zake. Kilichofuata tukawa tunawasiliana kwa simu za kawaida, kupigiana na kutumiana sms au picha ikawa kawaida.
Siku zikasogea nikaomba game akawa analeta za kike ila akaelewa, akaja nilipo tukakaa wote magetoni kwangu zaidi ya wiki na siku 2 daily ilikuwa nikufanya mambo ya watu wakubwa. Ni mzuri na yupo vizuri, mambo yake matamu.
Akarudi mkoa wake tukawa tunawasiliana na mipango kedekede ikawa tunaipanga. Mara sijui akaanza kuwa busy usiku, nikambana kumuuliza hilo, mwanzo alikuwa anasema ni mdogo wake anaongea nae. Mwisho akasema kuna ex wake anamtafuta warudiane, mimi nikampa option achague mwenyewe maana hatuforce.
Kuanzia pale ikawa hatuna maelewano mazuri, akipiga simu nisipopokea anatuma sms nipo na malaya zangu. Nikaona huu ni upuuzi, hata muda wa kutafuta riziki niwe naongea na simu always.
Nikaona ananitafutaia kosa, mimi nikamuwahi kujitoa. Ikawa sijali kuhusu yeye, akiweka status naview halafu nakula kimya, simsifii wala kumkosoa. Aisee, akapanda inbox siku za mbele na kuanza kuuliza mbona nimebadilika, nikajibu ubusy tu hakuna kingine.
Siku zikaenda tena nikaanza kumtoa kwa mipango yangu, ila nilimwambia sioni kufika mbali na yeye, akawaka sana ila sikujali. Siku zikaenda mbeleni nikawa nakosa mtu sahihi nikajirudi kwake, akakaza kidogo, baada ya kuomba msamaha akakubali yakaishaa. Tukawa tunachat na kupigiana simu kama mwanzo. Siku moja nikampanga kuwa nitakuja mkoa aliopo, akaelewa na tukamaliza fresh.
Siku zikaenda maongezi yalikuepo nikiamini tutaonana nikifika mkoa wake. Ajabu nilipofika mkoa ule nikamwomba tuonane akajibu hapana. Ikawa simuelewi, nikaona kuna kuwekana sub hapa, poa nikawa tayari kwa hilo.
Ndani ya mwezi huo ikawa birthday yake nikiwa mkoa huo huo, ila aliniambia kama leo halafu kesho ndio birthday yake.
Nikamwomba tuwe wote usiku wa birthday yake na nimemiss, akajibu haiwezekani mimi namchezea tu na kufoka sana, nikajibu sawa. Akauliza zawadi? Nikamjibu hao uliokuwanao watakupa zawadi, usiku mwema. Zikawekwa status, nikaview bila kureply chochote.
Muda wa kukaa mkoa ule ukaisha nikasepa zangu mkoa wangu ninapoishi. Akawa ananitafuta napokea ila ile kujivuta, akawa anamind nikawa simuwekei attention tena. Siku zikaenda nikapata nafasi ya kurudi kikazi mkoa aliopo, nikamtaarifu kuwa nakuja tuonane akajibu hataki kuchezewa. Nikasema fine hii ya mwisho.
Wiki za juzi akanitafuta ooh naumwa, naomba moja na mbili mimi nikamwambia pole nenda hospotalini. Akajibu ashaenda, nikamwambia sawa kunywa dawa, kula ushibe na maji ya kutosha (Malaria).
Baada ya kuumwa anataka tuonane tena kwa kuona hajakosea na kujitetea kwa sana 😁😁😁, acha nicheke kidgo tena. Ikawa siku, majuma, mwezi! Ila kwasasa nimemtoa mazima, maana naona tulikua wengi halafu kuna washauri kibao ndani yake na kwa style hiyo hatutafika mbele.
Ujumbe haujulikani msingi wa maudhui, huna maajabu ndiomana demu hanyenyekei anakutumia kimkakati wote mnatoa na kuweka mnaweka na kutoaWakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁

Mziki wa TEC jumlisha Mwabukusi haukuwa wa kitoto ule na MududeHivi DP world iliishaje wakuu
Kama ambavyo unanifanyia, hii story na yetu hazina tofauti🤣Hakupendi....haya soma kwa sauti bila kulia😅