Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

Mkuu,
Mdada kama huyo usipo mchoma bisi bisi machoni na kumng'oa meno Kwa prize....☺️☺️☺️😊😊

Kipindi nikiwa chuo Kuna mshikaji alikua ananiambia Kwa jinsi anavyo jua UGUMU jinsi baba Ake anavyo pata pesa.....

Nanukuu,
Pesa ya wazazi wangu sio ya kulia Bata.

Vice versa Kwa Malaya atakuchuna balaa datc why hata kipindi Cha ujanani mwangu nilikua nikikumbuka hustle zoteee....
Mademu wapiga virungu nilikua najua kudeal now
 
"Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena ukute Kuna ile stage maisha unaanza zero, unaanza Kwa kujibanza Kwa waliotangulia kufika mjini ujikusanye kusanye mwisho upate mtaji afu kirahis mdada ale hela aiseeee!!!

Uzur kila siku maisha yanatoa fursa na mafunzo acha waliwe hela
 
Bado ya moto moto sana hii

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wanawake ni chuma ulete Hana uchungu na Hela ya mwanaume. Mimi nikikutana nao nawatumia kweli mpaka Hela yangu anaiona chungu ie siku izi ndio maana wengi wanapoteza marinda
Once upon a time nilipokuja gundua pesa zangu NDIO watu wanalia Bata huku Mimi na jibana Ili kusaidia watu.......
Wanaume wenzangu tusisaidie watu kupita kiasi au kuhonga kiasi Cha kushindwa ku enjoy pesa za jasho LETU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…