Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Acha tu kaka Kuna masela wanakera!
Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.
Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+
Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
"Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi"Kuna jamaa yg mmoja yeye anampenda sana mke wake ,kiukweli upendo ule sijawai kukuona
Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu , ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji yote muhimu
Jamaa humnunulia mkewe nguo za thamani na kumpa vitu vyote vizuri
, Cha ajabu mkewe ni kicheche sana
Tukio la ajabu Kuna siku mke aliondoka ghafla pasipo mume kujua , Sasa tulimtafuta sanaaa hakupatikana baada ya wiki tukapata taalifa Yuko salasala benako Kuna mchizi anabiga mbupu kafungia ndani
Akatuchukua ili tumpe kampani ya kwenda kufanya Fuji ili kumuonesha mshikaji ubabe , kama vipi timsaule Kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi huku njiani tukijiapiza haiwezekani fala mmoja kuja kuchukua mke wa swahiba wetu na kwenda kumfungia ndani
Ebwanaaa kufika eneo la tukio ohoooo
Ile tunataka kulianzisha , huyu jamaa wetu mwenye mke akapoa tunaona mtu anapiga magoti huku anaelekea alipokaa mke wake Tena huku anaomba msamaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee tulipata hasira sana Tena jamaa alitefedhehesha mno , ye ndio kwanza anatuambua jamani acheni fujo ngoja niongee na mke wg , mke akawa anagoma kuondoka , ikabidi amwambie mgoni wake bana niachie mke wg siku zote umekaa nae hujatosheka tu
Jamaa akamjibu ongea na mkeo mi kosa lg lipi , kuongea na mkewe mke akamwambia niachie nauli ya boda nakuja kesho
Swahiba wetu akachomoa 10000 akamuachia tukaondoka , kesho yke asubui mke akaja wakaendelea na maisha
Mimi binafsi nasema ,unaweza jua umeona na kusikia vitu vingi , kumbe ni mengi hatujayajua Duniani tuvijuavyo ni theruthi tu
Kuna wanawake ni chuma ulete Hana uchungu na Hela ya mwanaume. Mimi nikikutana nao nawatumia kweli mpaka Hela yangu anaiona chungu ie siku izi ndio maana wengi wanapoteza marindaHakunieleza vzr! Maana mi nae nliona kumuulza kama ufala tu
Tena ukute Kuna ile stage maisha unaanza zero, unaanza Kwa kujibanza Kwa waliotangulia kufika mjini ujikusanye kusanye mwisho upate mtaji afu kirahis mdada ale hela aiseeee!!!Mkuu,
Mdada kama huyo usipo mchoma bisi bisi machoni na kumng'oa meno Kwa prize....☺️☺️☺️😊😊
Kipindi nikiwa chuo Kuna mshikaji alikua ananiambia Kwa jinsi anavyo jua UGUMU jinsi baba Ake anavyo pata pesa.....
Nanukuu,
Pesa ya wazazi wangu sio ya kulia Bata.
Vice versa Kwa Malaya atakuchuna balaa datc why hata kipindi Cha ujanani mwangu nilikua nikikumbuka hustle zoteee....
Mademu wapiga virungu nilikua najua kudeal now
Kikawaida ni nadra sana mwanamke kua na uchungu na hela ambazo hajui zinapatikanajeKuna wanawake ni chuma ulete Hana uchungu na Hela ya mwanaume. Mimi nikikutana nao nawatumia kweli mpaka Hela yangu anaiona chungu ie siku izi ndio maana wengi wanapoteza marinda
Wapo wanaojitambua hasa anapokupenda kweliKikawaida ni nadra sana mwanamke kua na uchungu na hela ambazo hajui zinapatikanaje
Jamani kumbe kuna watu wanaopewa 4m+ na hamsemi[emoji848][emoji848]4M+ kawaida tu, wala sio ya kujiliza liza.. hapo ni kujipoga kifuani na kusema hapa nimetoa bokoo [emoji28][emoji28] ila sio kuanza kutoa chozi
Wapo ila wachache 😁 bahati mbaya hatukutani nao kipindi tunazisakaWapo wanaojitambua hasa anapokupenda kweli
Tunakutana na vipwengoWapo ila wachache [emoji16] bahati mbaya hatukutani nao kipindi tunazisaka
Kwamba ni ndogo auJamani kumbe kuna watu wanaopewa 4m+ na hamsemi[emoji848][emoji848]
Bado ya moto moto sana hiiKuna jamaa yg mmoja yeye anampenda sana mke wake ,kiukweli upendo ule sijawai kukuona
Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu , ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji yote muhimu
Jamaa humnunulia mkewe nguo za thamani na kumpa vitu vyote vizuri
, Cha ajabu mkewe ni kicheche sana
Tukio la ajabu Kuna siku mke aliondoka ghafla pasipo mume kujua , Sasa tulimtafuta sanaaa hakupatikana baada ya wiki tukapata taalifa Yuko salasala benako Kuna mchizi anabiga mbupu kafungia ndani
Akatuchukua ili tumpe kampani ya kwenda kufanya Fuji ili kumuonesha mshikaji ubabe , kama vipi timsaule Kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi huku njiani tukijiapiza haiwezekani fala mmoja kuja kuchukua mke wa swahiba wetu na kwenda kumfungia ndani
Ebwanaaa kufika eneo la tukio ohoooo
Ile tunataka kulianzisha , huyu jamaa wetu mwenye mke akapoa tunaona mtu anapiga magoti huku anaelekea alipokaa mke wake Tena huku anaomba msamaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee tulipata hasira sana Tena jamaa alitefedhehesha mno , ye ndio kwanza anatuambua jamani acheni fujo ngoja niongee na mke wg , mke akawa anagoma kuondoka , ikabidi amwambie mgoni wake bana niachie mke wg siku zote umekaa nae hujatosheka tu
Jamaa akamjibu ongea na mkeo mi kosa lg lipi , kuongea na mkewe mke akamwambia niachie nauli ya boda nakuja kesho
Swahiba wetu akachomoa 10000 akamuachia tukaondoka , kesho yke asubui mke akaja wakaendelea na maisha
Mimi binafsi nasema ,unaweza jua umeona na kusikia vitu vingi , kumbe ni mengi hatujayajua Duniani tuvijuavyo ni theruthi tu
Nyingi sanaKwamba ni ndogo au
🤣🤣🤣Kuna siku naenda kazini Kuna manzi akaniambia nimsaidie laki nane ya Kodi, wakati huo nkifanya analysis ya mwezi najikuta naangukia jiwe TanoTunakutana na vipwengo
Once upon a time nilipokuja gundua pesa zangu NDIO watu wanalia Bata huku Mimi na jibana Ili kusaidia watu.......Kuna wanawake ni chuma ulete Hana uchungu na Hela ya mwanaume. Mimi nikikutana nao nawatumia kweli mpaka Hela yangu anaiona chungu ie siku izi ndio maana wengi wanapoteza marinda