Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku naenda kazini Kuna manzi akaniambia nimsaidie laki nane ya Kodi, wakati huo nkifanya analysis ya mwezi najikuta naangukia jiwe Tano
Ndio ivo unafanya assessment ndogo je uyu ni mke au kipozeo na kama kipozeo Kwanini anajipa dhamani iyo in return Mimi nitapata Nini kulingana na ninachotoa?
 
Tena ukute Kuna ile stage maisha unaanza zero, unaanza Kwa kujibanza Kwa waliotangulia kufika mjini ujikusanye kusanye mwisho upate mtaji afu kirahis mdada ale hela aiseeee!!!

Uzur kila siku maisha yanatoa fursa na mafunzo acha waliwe hela
Yaan Ile stage ukinunua kitanda mshahara umeisha...ukinunua fredge mshahara umeisha...ukinunua smart tv inch 32 mshahara umeisha 🀣🀣🀣🀣🀣🀣😊😊😊😊😊

Unajipanga hapo duu
 
Raha ni kula jasho lako sio kuwa mshumaa unamulika wenzio wewe unateketea
 
Ndio ivo unafanya assessment ndogo je uyu ni mke au kipozeo na kama kipozeo Kwanini anajipa dhamani iyo in return Mimi nitapata Nini kulingana na ninachotoa?
Mm na allergies na wapiga mizinga maana ni rahisi Kwao kutembeza PAPUCHI a.k.a MBUSUSU Ili mradi watimize Marengo Yao...unakuta yupo kwenye vikoba vinne🀣🀣🀣😊😊

Ukimtongoza kesho yake Kodi imeisha...mara ana NJAA umtumie na yakutolea...mara gafla nywele zimefumukaaa...πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜‚
 
Yaan Ile stage ukinunua kitanda mshahara umeisha...ukinunua fredge mshahara umeisha...ukinunua smart tv inch 32 mshahara umeisha 🀣🀣🀣🀣🀣🀣😊😊😊😊😊

Unajipanga hapo duu
🀣🀣Acha kunikumbusha mzeee nlipiga hesabu Hela ikawa inapelea kidogo kweny kununua vitu nkafataga godoro kiwandani tulitoa kimagendo ili chumba kipangishike maisha yaende
 
Jamaa pamoja na ubwege wake wote huo bado aliridhia kulishwa limbwata na mkewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…