Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

Usione mtu anang'ang'ania mtu kuna mambo mengine aya elezeki[emoji23]
 
Sio bure huo ni ujinga kabisa hana tofauti na mbuni
 
4M+ kawaida tu, wala sio ya kujiliza liza.

Bosss mkubwa A.K.A Kiongozii hongera sanaa kama hii kauli unaishi nayo.
Ila mi binafsi hii hela (4Mil) ni kubwa sanaa.
Hapa nilipo Niko natafuta 4m ili ninunue asset fulani hivi ya kutumika kwenye duka langu.
Na hapa nishasave 1.2mil hivyo bado Niko safari ndefu hasaa kufika hiyo 4mil

#YNWA
 
Unaanza maisha na kuhonga mbona vitu haviendani hivyo 😅😅😅.. Ajifunze na makosa mpe mwanamke kiasi cha hela ambacho hakito kuumiza hata akilala mbele
Alooo mimi nilimpa dem 100k tu ila siku hiyo nilihisi mapigo ya moyo yameongezeka yaani nilikua najiskia joto kila muda Sitakaa nirudie ule mchezo hadi wife alikua ananiuliza leo haupo sawa namjibu nimepoteza hela anacheka anasema utapata zingine ila mimi simuelewi kabisa natamani nimwambie yule demu rudisha dah sitasahau ile siku. Sikuhizi mtu akiniomba hela namwambia aje achukue nikishamla nampa hela ya usafiri akisepa na mm ndio basi tena.
 
Bosss mkubwa A.K.A Kiongozii hongera sanaa kama hii kauli unaishi nayo.
Ila mi binafsi hii hela (4Mil) ni kubwa sanaa.
Hapa nilipo Niko natafuta 4m ili ninunue asset fulani hivi ya kutumika kwenye duka langu.
Na hapa nishasave 1.2mil hivyo bado Niko safari ndefu hasaa kufika hiyo 4mil

#YNWA
Jf hii usichukulie serious comments mkuu 😅😅😅😅😅
 
Yaani vifuu kama hivi vimejaa mtaani,tena unakuta manzi hata si mzuri sana Wala nn,kweli uchawi upo.
 
Back
Top Bottom