Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

Omba omba wanaliwa sana yani
 
Huyo dogo ni mwehu sio bureπŸ˜…πŸ˜…
 
Dah![emoji26]
 
Mmekosa kazi za kufanya nyie wavulana??Haya sasa wenye mapenzi yao,, wao wameshapatana,,aibu imebaki kwenu,,,tafuteni shughuli za msingi za kufanya achaneni kufuatilia na kuingilia mapenzi ya watu mtaoneka vituko tuu mbele ya jamii na kudharaulika tuu!!
 
Huyo jamaa yako anafanya alichoagizwa na Muumba,"wanaume wapendeni wakenzenu"..
 
Ye ndio alituomba msaada wa kwenda msaidia ,kumshikisha adabu mgoni wake
 
Hyo ni buzi tena mme bwege. Ananunua matatizo. Ila watu kama hawa usishangae pale wanapozinduka wakaua wale wanaodhani wao ni mabuzi na mafala kama huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…