Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

🤣🤣Acha kunikumbusha mzeee nlipiga hesabu Hela ikawa inapelea kidogo kweny kununua vitu nkafataga godoro kiwandani tulitoa kimagendo ili chumba kipangishike maisha yaende
Hustler,
Tunapiga izoo zoteee wanaume tunapambania sana KOMBE...
 
Mm na allergies na wapiga mizinga maana ni rahisi Kwao kutembeza PAPUCHI a.k.a MBUSUSU Ili mradi watimize Marengo Yao...unakuta yupo kwenye vikoba vinne[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4]

Ukimtongoza kesho yake Kodi imeisha...mara ana NJAA umtumie na yakutolea...mara gafla nywele zimefumukaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]
Yaani hao ni wauza papuchi kama wale wa telegram na tinder sema wanajipa grade tu
 
Kuna jamaa yg mmoja yeye anampenda sana mke wake ,kiukweli upendo ule sijawai kukuona

Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu , ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji yote muhimu

Jamaa humnunulia mkewe nguo za thamani na kumpa vitu vyote vizuri
, Cha ajabu mkewe ni kicheche sana

Tukio la ajabu Kuna siku mke aliondoka ghafla pasipo mume kujua , Sasa tulimtafuta sanaaa hakupatikana baada ya wiki tukapata taalifa Yuko salasala benako Kuna mchizi anabiga mbupu kafungia ndani

Akatuchukua ili tumpe kampani ya kwenda kufanya Fuji ili kumuonesha mshikaji ubabe , kama vipi timsaule Kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi huku njiani tukijiapiza haiwezekani fala mmoja kuja kuchukua mke wa swahiba wetu na kwenda kumfungia ndani

Ebwanaaa kufika eneo la tukio ohoooo
Ile tunataka kulianzisha , huyu jamaa wetu mwenye mke akapoa tunaona mtu anapiga magoti huku anaelekea alipokaa mke wake Tena huku anaomba msamaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aisee tulipata hasira sana Tena jamaa alitefedhehesha mno , ye ndio kwanza anatuambua jamani acheni fujo ngoja niongee na mke wg , mke akawa anagoma kuondoka , ikabidi amwambie mgoni wake bana niachie mke wg siku zote umekaa nae hujatosheka tu

Jamaa akamjibu ongea na mkeo mi kosa lg lipi , kuongea na mkewe mke akamwambia niachie nauli ya boda nakuja kesho
Swahiba wetu akachomoa 10000 akamuachia tukaondoka , kesho yke asubui mke akaja wakaendelea na maisha

Mimi binafsi nasema ,unaweza jua umeona na kusikia vitu vingi , kumbe ni mengi hatujayajua Duniani tuvijuavyo ni theruthi tu
Stori za kubuni
 
Acha tu kaka Kuna masela wanakera!

Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.

Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+

Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
Nimecheka mpaka basi.
Jamaa ana fimbo ya myonge passport size?
 
Hii level ya dharau iwekewe lamination.
Kaka achana nae hzi fake ID zinaficha mengi, huyo utakuta kajibanza Kwa ndugu yake asubuhi anashikilia bomba kivule kariakoo kukaa kwenye duka la simu aendelee kula commission! Akifika kazini anascan wifi ndo aingie humu🤣🤣

Kaka wenye hela hawana mbwembwe shida inakua sisi wa kumulikiwa tochi na Mungu
 
Atakuwa ni wakiume huyo; sisi wanaume huwa tuna maamuzi magumu, pangechimbika hapo
 
Kaka achana nae hzi fake ID zinaficha mengi, huyo utakuta kajibanza Kwa ndugu yake asubuhi anashikilia bomba kivule kariakoo kukaa kwenye duka la simu aendelee kula commission! Akifika kazini anascan wifi ndo aingie humu🤣🤣

Kaka wenye hela hawana mbwembwe shida inakua sisi wa kumulikiwa tochi na Mungu
Hahahahah
 
Kuna jamaa yg mmoja yeye anampenda sana mke wake ,kiukweli upendo ule sijawai kukuona

Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu , ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji yote muhimu

Jamaa humnunulia mkewe nguo za thamani na kumpa vitu vyote vizuri
, Cha ajabu mkewe ni kicheche sana

Tukio la ajabu Kuna siku mke aliondoka ghafla pasipo mume kujua , Sasa tulimtafuta sanaaa hakupatikana baada ya wiki tukapata taalifa Yuko salasala benako Kuna mchizi anabiga mbupu kafungia ndani

Akatuchukua ili tumpe kampani ya kwenda kufanya Fuji ili kumuonesha mshikaji ubabe , kama vipi timsaule Kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi huku njiani tukijiapiza haiwezekani fala mmoja kuja kuchukua mke wa swahiba wetu na kwenda kumfungia ndani

Ebwanaaa kufika eneo la tukio ohoooo
Ile tunataka kulianzisha , huyu jamaa wetu mwenye mke akapoa tunaona mtu anapiga magoti huku anaelekea alipokaa mke wake Tena huku anaomba msamaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aisee tulipata hasira sana Tena jamaa alitefedhehesha mno , ye ndio kwanza anatuambua jamani acheni fujo ngoja niongee na mke wg , mke akawa anagoma kuondoka , ikabidi amwambie mgoni wake bana niachie mke wg siku zote umekaa nae hujatosheka tu

Jamaa akamjibu ongea na mkeo mi kosa lg lipi , kuongea na mkewe mke akamwambia niachie nauli ya boda nakuja kesho
Swahiba wetu akachomoa 10000 akamuachia tukaondoka , kesho yke asubui mke akaja wakaendelea na maisha

Mimi binafsi nasema ,unaweza jua umeona na kusikia vitu vingi , kumbe ni mengi hatujayajua Duniani tuvijuavyo ni theruthi tu
Natumia maneno mawili: Jamaa amelogwa.
 
Acha tu kaka Kuna masela wanakera!

Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.

Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+

Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
Ajali kazini
 
Back
Top Bottom