Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Si Bora wao wanapelekewa hujamuona yule anayejiita supapawa la mchongo anapelekewa mpaka askari wamsaidie kupambana na ZeleskyTaifa lenye nguvu linapelekewa silaha wakati tunaaminishwa wao ndio zaidi ya wote
Iran walishachakazwa na marubani wa kike wa IsraelMshaambiwa kwasasa aiyogopwi ISRAEL wala MAREKANI sasa watu wataogopa boom pc 1800 Mk-84
watupie IRAN au YEMEN waone kama Watu awana VITU vimewekwa ndimu kuliko vyao!!!!!
wanachoogopa kuivamia IRAN nn!!!! Mbona kule wanacheza na Russia kidalipo kidalipo kalale nacho!!!
Sasa kwann awataki kucheza na iran!!!! wkt hezbollah ni IRANI YEMEN ni IRAN HAMAS ni IRAN sasa kwann Awaendi IRAN kukata UMEME unapotokea!!!!!
IRAN ILE PROMIS NO3 ilikuwa ikisubili huo mzigo ngoja muone utakavyo Butuliwa yakiwa kwenye hifadhi zake!!!! Iran anajua kucheza na WAZUNGU ndio mana Wanamuogopa!!!!
Huu mwaka 2025 utakuwa Umechangamka sana japo unaanza talatibu sie yetu macho!!!
Jikite kwenye hojaKama yeye ni mjumbe wa mungu si awaonyeshe kwao..kwa nini awabembeleze awajengee?..na sasa awauwe?
Picha zikowapi Sasa hizo hadithi kila mtu anaweza kusimulia paukwa pakawaIran walishachakazwa na marubani wa kike wa Israel
Viwanda vya makombora na drones vilipigwa, wanajeshi wanne walichomolewa, mitambo ya kubaini na kuzuia mashambulizi ya anga haikuweza chochote ilichakazwa, Mitambo ya kufua umeme ilifumuliwa.
OCTOBER 26 2024 moja wa marubani wa kike akiwa anajiandaa kwenda kuisamaratisha IranPicha zikowapi Sasa hizo hadithi kila mtu anaweza kusimulia paukwa pakawa
Hio picha siinapigwa TU kijana usidanganyike na picha za mazayuni wamefanikiwa kubadili maandiko yenu 90% wamefanikiwa kuwadanganya walinwengu wote Kama wao ni first class lakini ukweli hautajificha siku zote Sasa kila nchi wanachukiwa,wanapigwa walioshiriki vita wote wanahukumiwa wakivuka nchi zingine yaan wanaishi Kwa mashaka mpaka US KwenyeweOCTOBER 26 2024 moja wa marubani wa kike akiwa anajiandaa kwenda kuisamaratisha Iran
View attachment 3239894
Chanzo cha hiki hekaya zako?Hakuna myahudi mzungu. Hata hao kina Netanyahu ni wazungu waliotokea Poland, Uturuki, Greece na Ulaya mashariki ambao wamepelekwa hapo mashariki ya kati kwa ajili ya mpango maalumu wa kimasilahi ya wazungu, haswa Marekani na Uingereza.
Wewe ni yupi hapa.IRAN MAJI YA MOTO washindwe wanaume wataweza kike!!!!
Hoja ya mada au ya Trump mjumbe wa mungu..?yanii dunia nzima wapelistina wapelistina ndo hawajulikani kwao?Jikite kwenye hoja
Sema majiiii - by kinjekitile ngwale 🤣Tutayageuza mabomu kuwa maji inshallah 😋😋
mi ndo natafakari hapa mkuu, Israel si tunaambiwa inajiweza kiuchumi,inakuaje inategemea msaada wa silaha toka america!!Taifa lenye nguvu linapelekewa silaha wakati tunaaminishwa wao ndio zaidi ya wote
Weka ushaidi we zuzu wa kiyahudi wa kwa mtogoreWananunua hawapelekewi bure. Huo mzigo walilipia ila Biden akauzuia baada ya Operesheni ya ya Rafah.
Hata Trump alivyouliza kama ataruhusu hayo mabomu yaende Israel alisema ndiyo kwa sababu wamelipia
Hii ni google translator ime tafsiri?Mshaambiwa kwasasa aiyogopwi ISRAEL wala MAREKANI sasa watu wataogopa boom pc 1800 Mk-84