Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

Mshaambiwa kwasasa aiyogopwi ISRAEL wala MAREKANI sasa watu wataogopa boom pc 1800 Mk-84

watupie IRAN au YEMEN waone kama Watu awana VITU vimewekwa ndimu kuliko vyao!!!!!

wanachoogopa kuivamia IRAN nn!!!! Mbona kule wanacheza na Russia kidalipo kidalipo kalale nacho!!!

Sasa kwann awataki kucheza na iran!!!! wkt hezbollah ni IRANI YEMEN ni IRAN HAMAS ni IRAN sasa kwann Awaendi IRAN kukata UMEME unapotokea!!!!!

IRAN ILE PROMIS NO3 ilikuwa ikisubili huo mzigo ngoja muone utakavyo Butuliwa yakiwa kwenye hifadhi zake!!!! Iran anajua kucheza na WAZUNGU ndio mana Wanamuogopa!!!!

Huu mwaka 2025 utakuwa Umechangamka sana japo unaanza talatibu sie yetu macho!!!
Iran walishachakazwa na marubani wa kike wa Israel

Viwanda vya makombora na drones vilipigwa, wanajeshi wanne walichomolewa, mitambo ya kubaini na kuzuia mashambulizi ya anga haikuweza chochote ilichakazwa, Mitambo ya kufua umeme ilifumuliwa.
 
Picha zikowapi Sasa hizo hadithi kila mtu anaweza kusimulia paukwa pakawa
 
Picha zikowapi Sasa hizo hadithi kila mtu anaweza kusimulia paukwa pakawa
OCTOBER 26 2024 moja wa marubani wa kike akiwa anajiandaa kwenda kuisamaratisha Iran

1739823281365.png
 
OCTOBER 26 2024 moja wa marubani wa kike akiwa anajiandaa kwenda kuisamaratisha Iran

View attachment 3239894
Hio picha siinapigwa TU kijana usidanganyike na picha za mazayuni wamefanikiwa kubadili maandiko yenu 90% wamefanikiwa kuwadanganya walinwengu wote Kama wao ni first class lakini ukweli hautajificha siku zote Sasa kila nchi wanachukiwa,wanapigwa walioshiriki vita wote wanahukumiwa wakivuka nchi zingine yaan wanaishi Kwa mashaka mpaka US Kwenyewe
 
Masaa machache yajayo, kutakuwa na mazungumzo hapo Saudi Arabia kati ya Urusi na Marekani kuhusu kusitisha vita Ukraine; katika makubaliano hayo, Iran inakoelekea itakosa mshirika na kupelekea kupunguzwa nguvu.

Yemen, Lebenon hawatakuwa na nguvu tena ya kufanya chochote; kwa mazingira hayo, Gaza inarudi Israel na inawezekana ikawa chini ya Marekani kama vikao vilivyoazimia.​
 
IRAN ilizuiya Shambulizi kila mtu aliona kwenye TV jinsi air defence systems ya Iran ikifanikiwa kushusha takataka kwenye Anga lake!!!

Kiasi wananchi walipoojiwa walisema awakujua chochote kilichokuwa kinaendelea uko Angani!!!

Lkn ukiacha yote ayo akuna picha yoyote ikionesha mlipuko uko Tehran !!!! tofaut na kushambulia kwa Iran uko Israel ktk Promis no2 kilakitu kinaonekana

na kipigo kila mtu kaona sasa leo mnataka kutudanganya sijui Vidada ndio vilienda !!!!! Utoto sasa!! tunaomba picha ya kuaminika!!!!
 
Hakuna myahudi mzungu. Hata hao kina Netanyahu ni wazungu waliotokea Poland, Uturuki, Greece na Ulaya mashariki ambao wamepelekwa hapo mashariki ya kati kwa ajili ya mpango maalumu wa kimasilahi ya wazungu, haswa Marekani na Uingereza.
Chanzo cha hiki hekaya zako?
 
Usifikiri hizo Silaha Israel inapewa bure!
Israel inakuwa imezilipia kwa gharama zake!
 
Taifa lenye nguvu linapelekewa silaha wakati tunaaminishwa wao ndio zaidi ya wote
mi ndo natafakari hapa mkuu, Israel si tunaambiwa inajiweza kiuchumi,inakuaje inategemea msaada wa silaha toka america!!
Kwamba Biden alikataa kuwapa hayo mabomu,Trump yeye anawapa
 
Wananunua hawapelekewi bure. Huo mzigo walilipia ila Biden akauzuia baada ya Operesheni ya ya Rafah.
Hata Trump alivyouliza kama ataruhusu hayo mabomu yaende Israel alisema ndiyo kwa sababu wamelipia
Weka ushaidi we zuzu wa kiyahudi wa kwa mtogore
 
Mshaambiwa kwasasa aiyogopwi ISRAEL wala MAREKANI sasa watu wataogopa boom pc 1800 Mk-84

watupie IRAN au YEMEN waone kama Watu awana VITU vimewekwa ndimu kuliko vyao!!!!!

wanachoogopa kuivamia IRAN nn!!!! Mbona kule wanacheza na Russia kidalipo kidalipo kalale nacho!!!

Sasa kwann awataki kucheza na iran!!!! wkt hezbollah ni IRANI YEMEN ni IRAN HAMAS ni IRAN sasa kwann Awaendi IRAN kukata UMEME unapotokea!!!!!

IRAN ILE PROMIS NO3 ilikuwa ikisubili huo mzigo ngoja muone utakavyo Butuliwa yakiwa kwenye hifadhi zake!!!! Iran anajua kucheza na WAZUNGU ndio mana Wanamuogopa!!!!

Huu mwaka 2025 utakuwa Umechangamka sana japo unaanza talatibu sie yetu macho!!!
Hii ni google translator ime tafsiri?
 
Back
Top Bottom