Haya matamasha na marathons kwanini yanafanyika nyumbani kwa viongozi wakubwa tu?

Hamna kitu mbwembwe tu

Wakimbiaji marathon zenyewe wote wagonjwaaa

Ova
Ukitoa Kilimanjaro Marathon hizo zingine zote hazitambuliki na shirikisho la riadha la dunia. Ni kama tu mashindano ya kombe la mbuzi. Hayamsaidii mwanariadha wa Tanzania kupata vigezo vya kushiriki Olimpiki na mashindano mengine makubwa ya kimataifa.
 
Samia anatumia fursa hiyo kupanga safu ya ushindi wa urais 2025.

Majaliwa ameitumia fursa hiyo kutangaza rasmi kuwa 2025 bado anautaka ubunge toka kwa wanaRuangwa.

Viongozi hawa, aibu naona mimi.
 
Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii.

Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika kijijini alipotokea Rais Samia. Pia hivi majuzi tulishuhudia Tulia Marathon huko Mbeya alipotokea Spika Tulia Akson.

Na leo nimeona Ruangwa Marathon ikifanyika huko Ruangwa alipotokea waziri mkuu Kassim Majaliwa. Nini kinafanya matukio haya yafanyike wanapotokea viongozi wakubwa tu? Je maeneo mengine hawastahili kuwa na matukio haya?

Je sports complex kubwa ya kimataifa na uwanja wa mpira wa miguu mkubwa kuliko ule wa Amani Zanzibar unaojengwa huko kijijini Kizmkaz ni kwa ushawishi wa nani? Je campus mbili za University of Dar es Salaam zinazojengwa kwa wakati mmoja Ruangwa ni upendeleo au kuna kitu gani?
Kuna wakati namkumbuka sana JPM japo wakati wa uongozi wake sikikubaliana na Utawala Chini ya Chama cha mapinduzi maana ni utawala wa kinyama unaojificha chini ya uhalifu dhidi ya binadamu. CCM kuna wakati inajificha chini ya Udini,ugaidi, utekaji ,uuaji,uporaji wa kura ,,vyombo vya dola,kuwanyima wananchi maendeleo kikanda au kilajimbo, ukabila ,uchama na kila aina ya uzhenzi na ushetani. Haya yalisababisha nisimkubali JPM . Kwa sasa baada ya kuuona utawala wa Farao nimebaini Kuwa JPM kiukweli alikua ni kati ya Marais bora sana kuwahi kutokea Duniani . Rais aliyekua na maono ya kuipeleka Tanzania mahali fulani.

Kwa sasa hatuna Rais mwenye maono bali ni mtu binafsi na familia yake na marafiki zake wanachotaka ndicho kinachofanyika na sio maono yake ndio maana kila kitu anasema hili nalo mkaliangalie.

Anacho elekeza hakijawahi kufanyiwa kazi zaidi ya kupuuzwa na wala nchi . Sasa hapo hatuna Kiongozi. Mama angekuwa hana uroho wa madaraka asiyoyaweza kabisa zaidi ya kulenga kujitajirisha kwa mgongo wa Tanganyika basi ni bora angeunda katiba mpya inayoitambua Tanganyika. Naamini kabisa kuwa angepata Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwaachia watanganyika kinyang'anyiro cha kugombea Uongozi wa Tanganyika. Lakini Tanganyika ndilo shamba lao na wazungu na waarabu kuchota maliasili na utajiri wote kisha kuwabambikiza Watanganyila makodi na matozo kufidia ufisadi wao na kutumia mtutu wa bunduki kuwanyamazisha Wananchi .

JPM alitumia pesa za mfuko wa Rais na matumizi ya Ikulu na safari za nje kujenga miundombinu kwa haraka . Wakaibuka mafisadi yaliyokuwa yananufaika na Sheria ya manunuzi na 10% wakishirikiana na Prof. Assad aliyekua anapenda safari za nje kuvumisha kuwa kuna upotevu wa zaidi ya Tril.1.... Kwa sasa pesa zinazobaki kama chenji wanazitumia kuhudumia machawa na kuwanufaisha wachezaji kutoka nje ya nchi kwenye vilabu vya simba na yanga.Pesa kama hizo hizo JPM alijenga Daraja na mabarabara . Alitumia njia njema ya kujenga bila kupitia michakato mirefu inayotoa mwanya wa Rushwa na kupotea kwa fedha nyingi za umma.
Wenzake wanajirusha kwa safari ,matamasha ,makongamano, na kununua machawa kununuabaya watu wa kunyooka na wale wanaowasema vibaya.
 
Loyalty

Katika watu wengi wenye uwezo JF mmoja wapo ni huyu fazili kipindi cha Magufuli alikuwa akiandika mada za ushauri ambazo topic zake zina depth ya mtu mwenye elimu kubwa and thought provoking.

Alipoingia Samia akaanza uchawa na kupeleka akili zake anapojua mwenyewe, binafsi nililumbana nae sana yeye akimsifia huyu mama na ni mimi nikiwa namponda.

Leo kageuka mpondaji mkubwa, hakuna shida.

Iła ni muhimu sana wana JF kujifunza kwa FaizaFoxy kama unatetea mtu anapoboronga na umeona anaboronga ni bora uachie wengine watwange au njoo na ID nyingine ya kutwanga sio ile ile uliyokuwa unajitoa wazimu kutetea ujinga wa bi-tozo.

Personal nilijua huyu mama atafikia hatua aliyepo leo. Hatokuwa na support ya upande wowote kwa sababu hana misimamo na amejikita kujaribu kumfurahisha kila jambo ambalo haliwezekani kwenye maisha ya mtaani tu let alone kwa raisi wa nchi. Jumlisha na maamuzi yake ya kifisadi.

It goes to show wale tuliokuwa tunakuponda mwanzoni bi-tozo usitoke barabara uliyoikuta, hizo zingine ni kelele tu, ndio tuliokuwa tunakutakia mema.

Hawa wengine ni watafuta maslahi tu
 
CCM inatumia mbinu za kijinga sana!
 
Kazikwe pembeni ya kaburi lake kuonyesha upendo. Pia fanya namna miaka irudi hadi kabla ya 1964 ili uishi kwenye Tanganyika. Umeandika upumbavu mtupu
 
Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii.

Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika kijijini alipotokea Rais Samia. Pia hivi majuzi tulishuhudia Tulia Marathon huko Mbeya alipotokea Spika Tulia Akson.

Na leo nimeona Ruangwa Marathon ikifanyika huko Ruangwa alipotokea waziri mkuu Kassim Majaliwa. Nini kinafanya matukio haya yafanyike wanapotokea viongozi wakubwa tu? Je maeneo mengine hawastahili kuwa na matukio haya?

Je sports complex kubwa ya kimataifa na uwanja wa mpira wa miguu mkubwa kuliko ule wa Amani Zanzibar unaojengwa huko kijijini Kizmkaz ni kwa ushawishi wa nani? Je campus mbili za University of Dar es Salaam zinazojengwa kwa wakati mmoja Ruangwa ni upendeleo au kuna kitu gani?
Anzisha na wewe ufanye nyumbani kwenu
 
Loyalty

Katika watu wengi wenye uwezo JF mmoja wapo ni huyu fazili kipindi cha Magufuli alikuwa akiandika mada za ushauri ambazo topic zake zina depth ya mtu mwenye elimu kubwa and thought provoking.

Alipoingia Samia akaanza uchawa na kupeleka akili zake anapojua mwenyewe, binafsi nililumbana nae sana yeye akimsifia huyu mama na ni mimi nikiwa namponda.

Leo kageuka mpondaji mkubwa, hakuna shida.

Iła ni muhimu sana wana JF kujifunza kwa FaizaFoxy kama unatetea mtu anapoboronga na umeona anaboronga ni bora uachie wengine watwange au njoo na ID nyingine ya kutwanga sio ile ile uliyokuwa unajitoa wazimu kutetea ujinga wa bi-tozo.

Personal nilijua huyu mama atafikia hatua aliyepo leo. Hatokuwa na support ya upande wowote kwa sababu hana misimamo na amejikita kujaribu kumfurahisha kila jambo ambalo haliwezekani kwenye maisha ya mtaani tu let alone kwa raisi wa nchi. Jumlisha na maamuzi yake ya kifisadi.

It goes to show wale tuliokuwa tunakuponda mwanzoni bi-tozo usitoke barabara uliyoikuta, hizo zingine ni kelele tu, ndio tuliokuwa tunakutakia mema.

Hawa wengine ni watafuta maslahi tu
Mama amegeuka tunageuka na sisi.
 
Huo ni wivu wako

Utakufa masikini
Utakuwa umetoka maeneo yenye kupendelewa nini? Angalia hasara nchi imepata kwa kujenga Chato International Airport isiyo na ndege hata moja inayotua huko! Leo hii tuna Kizimkazi international sports complex na stadium kubwa kuliko Amani Stadium! Wewe unaona sawa tu kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
 
Huna adabu!

Kama unaona raha kuanzisha tamasha na marathon,,, anzisha lako huko kijijini kwenu
 
Uwezi kupangia watu, you are entitled to air your opinion.

Lakini fazili huyu sio yule aliekuwa anashusha scholarly articles ambazo fikirishi.
Nimegundua watanzania hawa appreciate intellectual contents bali umbea na majungu hii ni hatari kabisa. Nipo kwenye test module nagundua mambo ya ajabu sana kwa wanadamu.
 
Back
Top Bottom