Haya matamasha na marathons kwanini yanafanyika nyumbani kwa viongozi wakubwa tu?

Hizo, ni kampeni tu, wana Pima kama bado wanakubalika, richa ya, kwamba wataiba kura, lakini angalau wapunguze kiasi cha wizi, maana richa ya kuwa mi ccm ni mijizi, lakini Ina, haya kidogo, mbele ya macho ya dunia, USA/UK,
 
Hayo matamasha ni sehemu ya kampeni za kisiasa
 
Duh.. Sijui kwa nini Watanzania hawataki Ruangwa paendelee. Hayo maeneo yalitupwa na serikali kwa muda mrefu. Acheni sasahivi na wao waonje raha ya maendeleo. Marathon zikifanyika huko kuna shida gani? Kwani si ni Tanzania?
Yani nyinyi mnataka mambo mazuri yafanyike mjini tu 😏
 
Kumbe Ruangwa kunajengwa kampus za vyuo kama Udsm.. ni sehemu zipi hizo..?
 
Cheap politics
 
Majibu ya hizi hoja ni 23 Septemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…