Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,398
- 23,057
Bahati mbaya upendo huwa una-develop automatically kupitia vitu vidogovidogo mnavyofanya pamoja kwa muda mrefu. Suluhisho hapa ni kukataa ndoa tu. 😁Suluhisho Ni kutopenda kupita Kiasi hakuna kingine,mpende mtu kawaida,kuna mtu ananapenda Hadi kero 😂