Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

Suluhisho Ni kutopenda kupita Kiasi hakuna kingine,mpende mtu kawaida,kuna mtu ananapenda Hadi kero πŸ˜‚
Bahati mbaya upendo huwa una-develop automatically kupitia vitu vidogovidogo mnavyofanya pamoja kwa muda mrefu. Suluhisho hapa ni kukataa ndoa tu. 😁
 
Bahati mbaya upendo huwa una-develop automatically kupitia vitu vidogovidogo mnavyofanya pamoja kwa muda mrefu. Suluhisho hapa ni kukataa ndoa tu. 😁
Ishi na mwanamke Kwa akili,Hii ni moja ya kauli ambavyo wewe kama mwanaume unapaswa uishi nayo kila siku shauri yako...!
 
Huu ndio ukweli ambao wanaukimbia na ingekuwa upande ule ungeona chuki za kidini zilivyojuu ya upeo wa akili,

Suala la mwili mmoja ni tatizo katika maisha, mwanamke akifahamu kuwa akileta ujuaji unaoa wa pili na watatu lazima atulize akili.
Ndo kama unavyofikiria!
 
Wanaume 3 wanawake 0 magoli yoote ya kanzu kwa kipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…