Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo hiyo bulb imewashwa na nini Chief-MkwawaChanga la macho
![]()
Can these rocks really power light bulbs? No, say the experts
Viral videos of minerals with apparent electrical properties are not what they seem.www.bbc.com
Yapo mawe yanayotumika kutengenezea lithium battery, ila sio kihivyo kwamba jiwe lenyewe litoe umeme hivyo.
Ukiingia hio link wameelezea. Kuna video ni za zamani nyengine za Zimbabwe, Morocco etcKwahyo hiyo bulb imewashwa na nini Chief-Mkwawa
kwamba hilo jiwe lina negative na positive terminal 😁😁😁Haya ni mawe ambayo yanauwezo wa kuwasha umeme na hata generator. Yanapatikana nchini DRC na ndio sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe haviishi.
Swali kwa wataalamu je ni kweli mawe yanaweza kuwasha umeme hii imekaaje?
View attachment 2502434
Usidanganywe.Physics ni ile ile dunia nzima.Wataalamu wa hayo mawe wapo humu? Like seriously 😂😂
Ila kuna vimtu vimesoma Electrical vitakuja kujibu kutokana na hearsay na vi fizikia vya mchongo.
Ukisoma electromagnatism. Tunaambiwa Dunia ina miolions of charges but they are stable.Mili yetu ina chaji,wadudu wanachaji,.miti ina chaji.Kwa elimu ya Geology ni kwamba, miamba moto mingi (Igneous rocky) Ina uwezo wa kupitisha umeme but siyo Kwa kiwango hicho mkuu. Composition na nature of deposition ndiyo itaufanya mwamba husika kuwa electrically charged au la.
Way unaungwaje kupata (-) na (+)Haya ni mawe ambayo yanauwezo wa kuwasha umeme na hata generator. Yanapatikana nchini DRC na ndio sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe haviishi.
Swali kwa wataalamu je ni kweli mawe yanaweza kuwasha umeme hii imekaaje?
View attachment 2502434