- Thread starter
- #121
Na hakika nimegundua tangu last Friday maroboti yote ya Lumumba hapa JF wapo busy kumpigia Mbowe chapuo,ajabu sana wafuasi wa CCM Leo wanataka fulani ndio awe kiongozi wa CHADEMA!!Kwenye mariadhiano ya Samiah na Mbowe,Mbowe aliahidi kushirikiana na serikali kwa namna yoyote ile,ndiyo maana Lucas Mwashambwa,Tlahtlah na Choicevariable wako upande wa Mbowe 100%