Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

CCM ipo sahihi inaposema inalea bado vyama vya siasa.

Shida labda CCM ni mlezi anaejihami kama vile utamaduni wa akina Simba, mama akizaa nje ya ‘pride’ watoto wanauliwa.

Hata wale waliozaliwa ndani ya pride, watemi na wenyewe wanakuwa tishio unafukuza. Kukutoa kwenye kilele wajipange wakiwa nje mpaka watakapokuwa tayari wakirudi kukuvaa ni kifo tu.

Nadhani at basic level humans utamaduni wetu auna tofauti sana na familia ya hakina Simba (hasa third world countries).

Kwa watu ambao wanatumia reasonability (blessing/advantage) ambayo mungu katupa dhidi ya wanyama ni uwezo wa kuelewa na kupanga realistically.

Asilimia kubwa ya watanzania hatujafikia hatua ya ku-exploit reasonability tuliyobarikiwa na mungu kwenye maamuzi yetu.

Lissu sio kiongozi

Dr Slaa ni grumpy old man siasa za CDM zinamuhusu nini yeye, ukimsikiliza anaongea kama vile CDM ni serikali ambayo ana uhuru wa kuiongelea.

Dr Slaa hana merit ya kuongelea mambo ya CDM, ile ni taasisi (independent) inayosimamiwa na katiba yake, ina viongozi wake na wanachama wake; wanao ongozwa nayo.

Ni mataahira tu ambao wanadhani Dr Slaa na sauti ya wapuuzi wana right ya kuongelea mambo ya CDM.

If you ask me, nchi inahitaji technocrat ya kuwanyoosha akili watanzania,

Sisi ni sawa na watoto wadogo ambao tunapelekwa dukani, unalilia kiatu mdosho, mzazi anajua baada ya siku mbili hakuna kiatu hapo ata kama ni bei chee. Bora akununulie cha bei utavaa mwaka mzima hao ndio watanzania.

Hawajui what is best for them yet, hawa ni watu wakuamuliwa. Shida ya watu wenye kuamua nao wana akili za familia za hakina Simba.

Catch 22
Takataka
 
Mu
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Mungu yupo kazini, walio lamba lupia kama wapo chadema ,watakufa midomo wazi asema Bwana
 
Kwani Abdul Nina mbona lisu hataji jina kamili la huyo anayamuita abdul?
 
Hao uliowataja wanafanya hivyo ili Mbowe aonekane ni kibaraka wa CCM na hivyo watu waone kuwa Lissu ni chaguo sahihi. Hivi unaamini kabisa kuna mpiga kura wa Chadema atampigia kura mtu kwa sababu tu anapigiwa debe na hao uliowataja.

Mimi najiuliza, hivi ingekuwaje kama Mbowe angekuwa anapigiwa debe na watu kama Msigwa na Slaa! Mngemchanachana vipande. Lakini kwa sababu mmeingia katika cult ya Lissu mnafungia macho ukweli kuwa Slaa alishiriki vizuri na kwa uwazi katika juhudi za kuibomoa CDM. Na hata Mbowe alipokuwa na kesi hakutaka watu wamtetee. Rafiki Mkuu wa Lissu, Peter Msigwa sasa hivi ni kada mzuri wa CCM ambae sio tu anaimba mapambio ya kusifia CCM bali anafanya kila jitihada kuibomoa CDM. Mnataka kutuaminisha kuwa ataacha juhudi hizo Lissu akiwa Mwenyekiti.?

Amandla...
Uko sawa mkuu.Swali kwako COVID 19 baraka zake zimetoka kwa nani?
 
hakuna haja ya wito kwa mtu mropokaji kama huyu mzee slaa,
mzee alokosa adabu na heshima uzeeni.

uongo, uzushi na uchonganishi kama mtoto mdogo ni fedheha sana na aibu kwa mzee mtu mzima anae act kama mtoto mdogo.

ni muhimu zaidi akawekwa korokoroni kwa kipindi kirefu kidogo ili iwe fundisho kwa wazee wa hovyo kama alivyo mzee slaa 🐒
Wewe mlemavu wa akili ungekuwa unatulia yanapojadiliwa mambo yanayohitaji akili.

Kwa upuuzi unaouweka humu kila mara, ukikumbuka hata kuvaa suruali, ujisifu kuwa angalao umeweza kulifanya hilo kwa ufanisi.

Pole sana kwa kujaliwa akili kibaba, ni vema hiyo akili kidogo uliyo nayo uchague maeneo unayoweza kwenda kuitumia kwa faida, badala ya kujidhalilisha JF. JF inahitaji waliokamilika kiakili.
 
Hamna kiongozi wa Chadema aliyetoa baraka zozote. Hivi kwa jinsi Ndugai na JPM walivyokuwa hawakipendi Chadema wangekaacha kuweka hadharani ushahidi wowote wa kuhusika kwa kiongozi wa Chadema?

Hizi ndio conspiracy theories mnazozipenda.

Amandla...
Hapana mkuu.Mwenyekiti wetu siyo mbaya kivile ubaya wake unakuja tu pale unapopenda kuridhiana na watu ambao hawakitaki au hawakipendi chama chako.Hivi kwa uchaguzi huu wa juzi wa Serikali za mitaa mtu mwenye akili timamu unaweza endelea kuamini katika haya maridhiano ya Rais ambaye anaabudu mambo ya kijinga?
 
Hapana. Hata Mbowe amekiri kuwa wa upande wa pili hawana nia ya dhati ya kufikia kwenye maridhiano. Alichokifanya Mbowe kwa kushiriki kwenye uchaguzi wa juzi ni kupata ushahidi kuwa hiyo nia haipo. Angesusa kama alivyotaka Lissu, serikali ingeweza kudai kuwa wangeweza kushinda sehemu nyingi kama wangehudhuria. Sasa hivi wameona wameona hata aibu kushangilia.

Amandla...
 
Mzee walimdanganya kwamba yupo safe sababu alijiunga kwa VPN.

Hajui kwamba once your device is connected to the Internet your info is NOT 100% safe & secure.

Mbaya zaidi jamaa waliomdanganya wamemtelekeza.
 
DMC,RMC,AMC,KMC- is it a coincidence IDs zote hizo zinafanana mawazo na jambo la kutetea?!! Ama ni kile kitengo cha online Lumumba?!!

Ni muhimu kujua kama unawasiliana na watu automated on duty ama personal thinker!!
Mimi binafsi siwafahamu hao wengine.

Michango yangu humu ni objective
ndio maana unaweza kukuta mtu niliyemuunga mkono leo kesho nikampinga. Mimi sifuati mkumbo nafikirisha kichwa na kusimamia ukweli.
 
Slaa sijui anatafuta nini?
Alijiondoa mwenyewe Chadema mchana kweupe akakimbilia CCM baada ya kuenguliwa kugombea uraisi.
Aliporejea kwao CCM wakambatiza upya Balozi Sweden.
Na pale walipoamua kumpumzisha kazi hiyo akawasemea mbovu nao wakakata mzizi wa fitina wakampoka title ya kuitwa Ambassador.
Dr Slaa kaja Chadema upya kupitia tresspass!!!
Ugomvi wa wana Chadema kinda kinda tena miamba wa chama chao anauingilia ili iweje? Kwanza Sio mwanachama,kibaya zaidi ni mtoro aliekisaliti chama kikielekea uchaguzi mkuu 2015.
Ajabu wanachama ndio wanamsikiliza zaidi kuliko Mwenyekiti wao 😀

Ukienda huko clubhouse utashangaa sana wanavojifanya wapambanaji wa chama 😀
 
Hapana mkuu.Mwenyekiti wetu siyo mbaya kivile ubaya wake unakuja tu pale unapopenda kuridhiana na watu ambao hawakitaki au hawakipendi chama chako.Hivi kwa uchaguzi huu wa juzi wa Serikali za mitaa mtu mwenye akili timamu unaweza endelea kuamini katika haya maridhiano ya Rais ambaye anaabudu mambo ya kijinga?
Mlitaka akae mahabusu mpk leo?
Kuongea ni rahisi sana

Mpeni Dr slaa uenyekiti,maana ndie mnaemuamini kwa sasa
 
Wewe mlemavu wa akili ungekuwa unatulia yanapojadiliwa mambo yanayohitaji akili.

Kwa upuuzi unaouweka humu kila mara, ukikumbuka hata kuvaa suruali, ujisifu kuwa angalao umeweza kulifanya hilo kwa ufanisi.

Pole sana kwa kujaliwa akili kibaba, ni vema hiyo akili kidogo uliyo nayo uchague maeneo unayoweza kwenda kuitumia kwa faida, badala ya kujidhalilisha JF. JF inahitaji waliokamilika kiakili.
muerevu sasa mbona hata hunaga pweinti aise,
una mbwelambwela na mihemko tu :pedroP:
 
Hili ndio tatizo la waropokaji na wafuasi wao. Wanapokuwa wanaropoka wafuasi hushangilia kweli mitandaoni. Waropokaji wakikamatwa wafuasi wanaanza kuloloma! Upumbavu mkubwa huu!

Nyie si huwa mnasema Mbowe mpole mnataka watu wa kukinukisha? Haya Sasa, mwambieni Lissu awaongoze mwende mkamtoe Mropokaji Dk. Slaa Kituo cha polisi. Kama hamuwezi kaeni kimya! Wajinga nyie!!
We nawe umeandika upumbavu wako wote hapa.
 
hakuna haja ya wito kwa mtu mropokaji kama huyu mzee slaa,
mzee alokosa adabu na heshima uzeeni.

uongo, uzushi na uchonganishi kama mtoto mdogo ni fedheha sana na aibu kwa mzee mtu mzima anae act kama mtoto mdogo.

ni muhimu zaidi akawekwa korokoroni kwa kipindi kirefu kidogo ili iwe fundisho kwa wazee wa hovyo kama alivyo mzee slaa 🐒
We mbwa umenichekesha kama mazuri vile, eti ni muhimu awekwe kwa kipindi kirefu kidogo! Jinga kabisa wewe
 
Slaa sijui anatafuta nini?
Alijiondoa mwenyewe Chadema mchana kweupe akakimbilia CCM baada ya kuenguliwa kugombea uraisi.
Aliporejea kwao CCM wakambatiza upya Balozi Sweden.
Na pale walipoamua kumpumzisha kazi hiyo akawasemea mbovu nao wakakata mzizi wa fitina wakampoka title ya kuitwa Ambassador.
Dr Slaa kaja Chadema upya kupitia tresspass!!!
Ugomvi wa wana Chadema kinda kinda tena miamba wa chama chao anauingilia ili iweje? Kwanza Sio mwanachama,kibaya zaidi ni mtoro aliekisaliti chama kikielekea uchaguzi mkuu 2015.
Tatizo Slaa anachukuliaga siasa serious sana.
 
Umeandika ujinga tu

Back
Top Bottom