Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

Huenda wanataka kumtweza na kumsulubu kwa sharti kua aseme ni wakina nani hao walimpa taarifa hizo!!
Wala sishangai. Kama alitoa amri Mzee Kibao afyekwe. Sidhani kama Mzee Slaa ana thamani mbele yao..

Na wanaotekeleza huo ujinga ni vitoto level ya wajukuu zake.

Maendeleo ya nchi hii ni kusimika mabango ya kumsifia mama kila kona.
Usalama wa nchi yetu ni kutomkosoa rais anapofanya mambo ya hovyo

Tunaishi na walaanifu
 
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Kipumbwi mkubwa wee!
 
Kuhusu kujenga gorofa hapo umejiharishia.

Mbowe ni royal family.
Kumbuka enzi za ukombozi mwalimu alimsaidia baba yake Aikael Mbowe kuingiza benz nchini.
Aikaeli ndo mtanzania wa kwanza kumiliki benzi hata ikulu haikuwepo.

Freeman syo kapuku.
Mtu ana export maua unataka umlinganishe na makapuku kina lisu heche na muasi silaaa?

Mbowe akiuza kiwanja cha moshi arusha road anajenga gorofa ambalo we kishoia hutathubutu kuingia ndani na kwako zako ka za punda
akifa ataenda navyo??? Na mi nataka kununua ndege ili niende nayo mbingun nikapigie misele
 
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Mwambie akathibitishe hayo mahakamani aache kulialia. Mzee wa miaka 76 bado anakuwa muongo tena Balozi mstaafu!!
 
CCM ipo sahihi inaposema inalea bado vyama vya siasa.

Shida labda CCM ni mlezi anaejihami kama vile utamaduni wa akina Simba, mama akizaa nje ya ‘pride’ watoto wanauliwa.

Hata wale waliozaliwa ndani ya pride, watemi na wenyewe wanakuwa tishio unafukuza. Kukutoa kwenye kilele wajipange wakiwa nje mpaka watakapokuwa tayari wakirudi kukuvaa ni kifo tu.

Nadhani at basic level humans utamaduni wetu auna tofauti sana na familia ya hakina Simba (hasa third world countries).

Kwa watu ambao wanatumia reasonability (blessing/advantage) ambayo mungu katupa dhidi ya wanyama ni uwezo wa kuelewa na kupanga realistically.

Asilimia kubwa ya watanzania hatujafikia hatua ya ku-exploit reasonability tuliyobarikiwa na mungu kwenye maamuzi yetu.

Lissu sio kiongozi

Dr Slaa ni grumpy old man siasa za CDM zinamuhusu nini yeye, ukimsikiliza anaongea kama vile CDM ni serikali ambayo ana uhuru wa kuiongelea.

Dr Slaa hana merit ya kuongelea mambo ya CDM, ile ni taasisi (independent) inayosimamiwa na katiba yake, ina viongozi wake na wanachama wake; wanao ongozwa nayo.

Ni mataahira tu ambao wanadhani Dr Slaa na sauti ya wapuuzi wana right ya kuongelea mambo ya CDM.

If you ask me, nchi inahitaji technocrat ya kuwanyoosha akili watanzania,

Sisi ni sawa na watoto wadogo ambao tunapelekwa dukani, unalilia kiatu mdosho, mzazi anajua baada ya siku mbili hakuna kiatu hapo ata kama ni bei chee. Bora akununulie cha bei utavaa mwaka mzima hao ndio watanzania.

Hawajui what is best for them yet, hawa ni watu wakuamuliwa. Shida ya watu wenye kuamua nao wana akili za familia za hakina Simba.

Catch 22
Dokta ni mwanachama wa cdm au alirudisha kadi mkuu?
 
Mleta hoja naomba nikuulize swali moja umesaema kuwa lissu hajakamatwa kwa kumtuhumu Abdul swali Abdul ninani maana hapa Tanzania Kuna Abdul wengi na mama Abdul pia wapo wengi so ili lissu atiwe ngvuni ajaribu kumtaja kwa majina yake matatu alafu uonekama hatakamatwa ili akatoe huo ushahidi alionao lissu anafahamu kuwa anachofanya ni propaganda za uchaguzi tu baada ya uchaguzi hiyo agenda itakufa kifo Cha kawaida tu

hakutoka jela kwa kupewa deal na Mama Abdul?!
USHAHIDI?
 
hakuna haja ya wito kwa mtu mropokaji kama huyu mzee slaa,
mzee alokosa adabu na heshima uzeeni.

uongo, uzushi na uchonganishi kama mtoto mdogo ni fedheha sana na aibu kwa mzee mtu mzima anae act kama mtoto mdogo.

ni muhimu zaidi akawekwa korokoroni kwa kipindi kirefu kidogo ili iwe fundisho kwa wazee wa hovyo kama alivyo mzee slaa 🐒
Gentleman,

Hizi saga zinanifanya nikumbuke kitabu Cha...

BETRAYAL IN THE CITY by fransis Imbuga..

There is one complicated question at the heart of the play.
What chance do the citizens of a country have if the most powerful people in government are monsters??

Kuna huyu wakuitwa mosese akiwa jelaaaa askari tells Mosese in the jail ‘’It doesn’t pay to have a hot mouth’’

Pia docta slaa anaweza kua ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na hii nchi nipende kunukuu huu usemi wa kizungu ‘’silence is the best ship home’’ meaning silence is the best way of evaluating or leaving the problem.

Ngoja tuendelee kusubiri Nini kitajiri kwa Docta slaa Ila hii saga imenikumbusha play ya BETRAYAL IN THE CITY Cha fransis Imbuga.
 
Nafikiri umepandisha sana sukari,sijaweka hisia, nimeweka fact checking 5 zenye ushahidi kutoka kwa Mbowe,Ikulu,Dr Slaa,Lissu.

Kuhusu kufutwa kwa kesi- kwa nini walitumwa viongozi wa dini?!! Anaefuta kesi si ni DPP?!! Kwa nini watumwe watu wasio mahakama siku moja kabla kupeleka ujumbe wa Raisi?!!

Jikite kwenye fact checking 5,nenda hoja kwa hoja,wacha viroja!! Shambukia hoja,usishambulie mleta hoja!!
DPP na serikali ni vitu tofauti? Wakati Lissu anaongea na Rais Belgium mbona alimwomba Rais kesi zake zifutwe kwani Rais ni DPP? DPP akachukua hatua za kufuta kesi kwa maelekezo ya serikali hapo unasemaje? Au kwa Lissu ni sawa ila kwa Mbowe si sawa. DPP ni moja ya organs za serikali na mkuu wa serikali ni rais. Dunia nzima serikali ina discretion ya kufuta kesi, chukulia mfano kesi za Trump DOJ mbona imeamua kuzifuta baada ya Trump kushinda.

Viongozi wa dini ni watu wanaoaminiwa na jamii kuwa ni watu wa haki na wanayafznya mapenzi ya Mungu ambapo jukumu mojawapo ni upatanishi, labda kama huna dini huwezi kuelewa. Wao kwenda gereza I ilikuwa ni sawa na key issue ni kuwa walikuwa wanamuomba Mbowe akubsli kuonana na Rais na hilo sio kosa wala udhaifu ,, mambo ya kisiasa huwa yanaishia mezani kwa watu kuzungumza, kama. Nynyi sera yenu hamtaki mazungumzo anzisheni chama chenu mtekeleze hiyo sera tuone kama mtaachieve lolote.
 
umejitahidi sana kutetea lakini inaonesha huna ushahidi wa kutosha kutuaminisha kuwa ulichosema ni kweli. Mwenzako kaweka ushahidi tena wa video je ni kweli hujauona huo ushahidi? Mbowe ndio chanzo cha matatizo yote. Hata hao vijana waliopotea na kuuwawa damu yao iwe juu yake. Sisi tunaamini chadema ni chama cha upinzani kumbe mbowe ni duble agent.
Anzisha chama chako ukijenge kiyafanye hayo unayotaka. Mbona Zitto alipofukuzwa alianzisha chama chake na kina mtandao nchi nzima?

Kwa nini unalazimisha Mbowe akuachie. chama.
 
Gentleman,

Hizi saga zinanifanya nikumbuke kitabu Cha...

BETRAYAL IN THE CITY by fransis Imbuga..

There is one complicated question at the heart of the play.
What chance do the citizens of a country have if the most powerful people in government are monsters??

Kuna huyu wakuitwa mosese akiwa jelaaaa askari tells Mosese in the jail ‘’It doesn’t pay to have a hot mouth’’

Pia docta slaa anaweza kua ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na hii nchi nipende kunukuu huu usemi wa kizungu ‘’silence is the best ship home’’ meaning silence is the best way of evaluating or leaving the problem.

Ngoja tuendelee kusubiri Nini kitajiri kwa Docta slaa Ila hii saga imenikumbusha play ya BETRAYAL IN THE CITY Cha fransis Imbuga.
nimependa sana hiyo title ya hiyo kitabu ya huyo muungwana wa “second generation” of East African writers,

lakini nimevutiwa zaidi na sehemu ya maudhui, kwa namna uliyoyaeleza kwa kifupi, ni dhahiri kwamba kitabu ni kizuri.

hata hivyo,
mzee slaa ni bingwa wa usaliti, tamaa na ubinafsi Tanzania,
anajifanya mwanaharakati buti ukweli ni kwamba anapambwa na sura ya kutoa aminika wala kukubalika na jamii hususani jamii ya chadema.

gentleman,
hivi huyo mzee slaa ni mwana chama wa chama gani hasa maana niliskia akifafanua katiba ya chadema kabala ya kutiwa nguvuni kwa uchochezi :pulpTRAVOLTA:
 
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Kuna uposhaji mwengine umeweka mama samia na mbowe awajakutana sasa upotoshaji mwengine huuu iyo barua ni ya kitambo sana sasa kuweka ile clip ya DK Slaa kisha chini kuweka iyo Barua ambayo aiyonyeshi walikutano lini mbowe na mama Samia unapotosha watu. Iyo barua ni ya kitambo sana ndipo walionana sio sasa. Mbowe na mama Samia.
 
Barua ya 22 Mach 2022 sasa kuiyambatanisha sasa na clip huu upotoahaji kabisa
 
20250106_171218.jpg
 
Back
Top Bottom