Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

Mambo ni moto
Kuhusu kujenga gorofa hapo umejiharishia.

Mbowe ni royal family.
Kumbuka enzi za ukombozi mwalimu alimsaidia baba yake Aikael Mbowe kuingiza benz nchini.
Aikaeli ndo mtanzania wa kwanza kumiliki benzi hata ikulu haikuwepo.

Freeman syo kapuku.
Mtu ana export maua unataka umlinganishe na makapuku kina lisu heche na muasi silaaa?

Mbowe akiuza kiwanja cha moshi arusha road anajenga gorofa ambalo we kishoia hutathubutu kuingia ndani na kwako zako ka za punda
 
Bottom line ex padre atowe ushahidi mahakamani wa Samia kutoa fedha za kumsaidia Mbowe.
Kama anasema uongo na kumsingizia Rais well there's consequences.
Hata alipodai kuna mabox ya kura Mbeya kwenye malori alishindwa kutoa ushahidi
My take.
Inawezekana kuna wanao mcheza there kwa kumpa taarifa za up uongo.
Pili akumbushwe yeye sio kiongozi Wala mwanachama wa Chadema, hayamusu.
 
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Hisia zako sio ukweli japo ni haki yako kuamini unachitaka.

Kwanza Mbowe alipofuatwa,na maaskofu hakupewa,masharti kama unavyopotosha hapa kwa unafiki. Maelezo ya Mbowe mwenyewe ukimsikiliza anasema alielezwa na hao viongozi wa dini uwa serikali haina. nia ya kuendekea na kesi na pia rais anaomba kukutana naye ; Mbowe kuridhia kukutana na rais sio kosa na yeye ndiye muamuzi sio nyinyi key board warriors.

Hata Mandela akiwa gereza I alionana na De Clark ( rais wa SA).

Mbowe sio maskini wa kushindwa kujenga nyumba na hatoki familia maskini. pia serikali ilimvunjia biashara zake na ikiwa walianua kumlipa kama Lisu alivyolipwa stahiki za ubunge baada ya kuonana na Rais ubelgiji hakuna ubaya kwa sababu ilikuwa haki yake. Kama unakumbuka Mbowe alifungua kesi kudai fidia kwa kuharibiwa miundombinu ya umwagiliaji shambani kwake sasa kama sefikali iliamua wamalizane kwa ku.lipa fidia hilo si kosa.

Slaa kukamatwa usiku hiyo ni suala la polisi wenyewe katika kufanya kazi zao. Polisi anaruhusiwa kumkamata mhalifu wakati wowote.

Kati ya Mbowe na Slaa ni Slaa ndiye ilishathibitika kuhongwq, alilala Sheraton akaandaliwa press chini ya uratibu wa Mwakyembe hiyo haikuwa rushwa? Leo hii Slaa huyo akamnyooshee kidole mwenzake tena pasipo ushahidi.

Wajumbe wapiga kura wana akili timamu na kura zitapigwab ,kwa uhuru na uwazi kila anayeyaka atashuhudia live,

Tunajua Lissu akishindwa wanafiki nyie mtakuja na rhetoric hapa kuwa wajumbe wamehongwa, kama mjum.be kwa akili yake timamu na bila kushurutishwa ameamua kum.pigia fulani kura wewe ni nani aliyekupa mamlaka ya kumuamulia mjumbe apige vipi kura?
 
Nafikiri umepandisha sana sukari,sijaweka hisia, nimeweka fact checking 5 zenye ushahidi kutoka kwa Mbowe,Ikulu,Dr Slaa,Lissu.

Kuhusu kufutwa kwa kesi- kwa nini walitumwa viongozi wa dini?!! Anaefuta kesi si ni DPP?!! Kwa nini watumwe watu wasio mahakama siku moja kabla kupeleka ujumbe wa Raisi?!!

Jikite kwenye fact checking 5,nenda hoja kwa hoja,wacha viroja!! Shambukia hoja,usishambulie mleta hoja!!
 
Hili ndio tatizo la waropokaji na wafuasi wao. Wanapokuwa wanaropoka wafuasi hushangilia kweli mitandaoni. Waropokaji wakikamatwa wafuasi wanaanza kuloloma! Upumbavu mkubwa huu!

Nyie si huwa mnasema Mbowe mpole mnataka watu wa kukinukisha? Haya Sasa, mwambieni Lissu awaongoze mwende mkamtoe Mropokaji Dk. Slaa Kituo cha polisi. Kama hamuwezi kaeni kimya! Wajinga nyie!!
siku zote huwa nawafananisha machawa na mashoga akili zaao zinafanana kabisaa. Lakini katika hao wawili ni bora shoga kuliko chawa
 
Slaa sijui anatafuta nini?
Alijiondoa mwenyewe Chadema mchana kweupe akakimbilia CCM baada ya kuenguliwa kugombea uraisi.
Aliporejea kwao CCM wakambatiza upya Balozi Sweden.
Na pale walipoamua kumpumzisha kazi hiyo akawasemea mbovu nao wakakata mzizi wa fitina wakampoka title ya kuitwa Ambassador.
Dr Slaa kaja Chadema upya kupitia tresspass!!!
Ugomvi wa wana Chadema kinda kinda tena miamba wa chama chao anauingilia ili iweje? Kwanza Sio mwanachama,kibaya zaidi ni mtoro aliekisaliti chama kikielekea uchaguzi mkuu 2015.
Kawaida mtu akizeeka akili zinakuwa kama ivyo Dk Slaa
 
Mleta hoja naomba nikuulize swali moja umesaema kuwa lissu hajakamatwa kwa kumtuhumu Abdul swali Abdul ninani maana hapa Tanzania Kuna Abdul wengi na mama Abdul pia wapo wengi so ili lissu atiwe ngvuni ajaribu kumtaja kwa majina yake matatu alafu uonekama hatakamatwa ili akatoe huo ushahidi alionao lissu anafahamu kuwa anachofanya ni propaganda za uchaguzi tu baada ya uchaguzi hiyo agenda itakufa kifo Cha kawaida tu
 
siku zote huwa nawafananisha machawa na mashoga akili zaao zinafanana kabisaa. Lakini katika hao wawili ni bora shoga kuliko chawa
KinachonifurahishaGA Mimi ni kuona watu wanaowaona wenzao chawa wakati huo wao wenyewe Wana sifa za uchawa kuwazidi wanaowasimanga kuwa chawa! Ahahahahaha!!
 
CCM janja janja sana wamechonganisha Kisha wao wako pembeni, wanakula haruwa na kashata. Hizi akili wangekuwa wanatumia Kwa maendeleo ya nchi hii, SGR isingezima kisa umeme kukatika, upungufu wa ajira rasmi ungekuwa chini ya 1%, na sisi tungekuwa tayari tumetuma chombo Kwenye lunar surface.
All this is rubbish,
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Hakuna cha kutafakari hapa no rubbish tupu. Unaandika hisia zako. Una haki lakini wakisema leta ushahidi usilalamike.
 
Hisia zako sio ukweli japo ni haki yako kuamini unachitaka.

Kwanza Mbowe alipofuatwa,na maaskofu hakupewa,masharti kama unavyopotosha hapa kwa unafiki. Maelezo ya Mbowe mwenyewe ukimsikiliza anasema alielezwa na hao viongozi wa dini uwa serikali haina. nia ya kuendekea na kesi na pia rais anaomba kukutana naye ; Mbowe kuridhia kukutana na rais sio kosa na yeye ndiye muamuzi sio nyinyi key board warriors.

Hata Mandela akiwa gereza I alionana na De Clark ( rais wa SA).

Mbowe sio maskini wa kushindwa kujenga nyumba na hatoki familia maskini. pia serikali ilimvunjia biashara zake na ikiwa walianua kumlipa kama Lisu alivyolipwa stahiki za ubunge baada ya kuonana na Rais ubelgiji hakuna ubaya kwa sababu ilikuwa haki yake. Kama unakumbuka Mbowe alifungua kesi kudai fidia kwa kuharibiwa miundombinu ya umwagiliaji shambani kwake sasa kama sefikali iliamua wamalizane kwa ku.lipa fidia hilo si kosa.

Slaa kukamatwa usiku hiyo ni suala la polisi wenyewe katika kufanya kazi zao. Polisi anaruhusiwa kumkamata mhalifu wakati wowote.

Kati ya Mbowe na Slaa ni Slaa ndiye ilishathibitika kuhongwq, alilala Sheraton akaandaliwa press chini ya uratibu wa Mwakyembe hiyo haikuwa rushwa? Leo hii Slaa huyo akamnyooshee kidole mwenzake tena pasipo ushahidi.

Wajumbe wapiga kura wana akili timamu na kura zitapigwab ,kwa uhuru na uwazi kila anayeyaka atashuhudia live,

Tunajua Lissu akishindwa wanafiki nyie mtakuja na rhetoric hapa kuwa wajumbe wamehongwa, kama mjum.be kwa akili yake timamu na bila kushurutishwa ameamua kum.pigia fulani kura wewe ni nani aliyekupa mamlaka ya kumuamulia mjumbe apige vipi kura?
umejitahidi sana kutetea lakini inaonesha huna ushahidi wa kutosha kutuaminisha kuwa ulichosema ni kweli. Mwenzako kaweka ushahidi tena wa video je ni kweli hujauona huo ushahidi? Mbowe ndio chanzo cha matatizo yote. Hata hao vijana waliopotea na kuuwawa damu yao iwe juu yake. Sisi tunaamini chadema ni chama cha upinzani kumbe mbowe ni duble agent.
 
CCM janja janja sana wamechonganisha Kisha wao wako pembeni, wanakula haruwa na kashata. Hizi akili wangekuwa wanatumia Kwa maendeleo ya nchi hii, SGR isingezima kisa umeme kukatika, upungufu wa ajira rasmi ungekuwa chini ya 1%, na sisi tungekuwa tayari tumetuma chombo Kwenye lunar surface.
All this is rubbish,
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Hakuna cha kutafakari hapa no rubbish tupu. Unaandika hisia zako. Una haki lakini wakisema leta ushahidi usilalamke.

Asipotoa ushahidi afungwe jela. Kauli hizi hata kwa mtu binafsi hawezi kuziacha hivi hivi sembuse Rais? Ni allegations kali mno! Na hii haponyoki katu màna hana hao TISS watakaokuja kumtolea ushahidi. Mouuzi mkubwa
 
Slaa Yuko Mahakamani Sasa, na akathibitishe madai yake - full stop.
 
All this is rubbish,

Hakuna cha kutafakari hapa no rubbish tupu. Unaandika hisia zako. Una haki lakini wakisema leta ushahidi usilalamike.
Ushahidi upo zaidi ya fact checking 5 ambatanishi?!! Ushahidi kua hakutoka jela kwa kupewa deal na Mama Abdul?!! Ushahidi kua baadala ya DPP kwenda kukaa nae na kumfutia mashitaka ila akakaa na Mama Abdul?!! Ushahidi kua hakusema kua hatompinga Mama Abdul?!!
 
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.

Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza mambo haya matano yafuatayo!

1. Sikiliza dakika 5 za Dr Slaa alichokiongea humu kwneye space, tafakari. Tunajua amekamatwa,tunajua amenyimwa dhamana!!
View attachment 3198292

Kwa alichokizungumza humo,alistahili kufuatwa saa 7 usiku kwake mtu ambae amekua Balozi,amekua Katibu Mkuu,Mbunge?!! Kwa nini asingepelekewa wito na akaenda mapambazuko?!! Nani aliekasirika kiasi cha kwenda kumkamata Slaa kama panya road ama jambazi usiku wa manane?!!

2. Tazama clip ya Kisutu mawakili wa Slaa wakieleza sakata na kisa kizima cha Slaa kunyimwa dhamana na mbinu zilizotumika
View attachment 3198300

3. Ikumbukwe Mbowe amekiri kua kabla ya kuachiwa jela alifuatwa na maaskofu wawili na sheikh mmoja ambapo walisema kua wametumwa na Samia kua hawataki kuendelea kumshitaki kwa ugaidi ila akapewa masharti ya kwenda kukutana na muhisani wake huyo,Mbowe alikubali- Je Slaa alichokisema hakiakisi ukweli?!!
Tutazame taarifa rasmi ya siku hiyo baada ya Mbowe kuibukia Ikulu.
View attachment 3198304

4. Ikiwa mdhamini wa Mbowe kumfutia kesi alitoa taarifa kiujumla walikubaliana nini na Mbowe na taarifa bayana inaeleza kua washirkiane,kumbuka baada ya hapo muda mchache Mbowe alilalamikiwa kwenda Kijijini kwao akajenga makazi binafsi ya gjorofa la kifahari huku baadae pia akiomba apewe 150mln cash kwa ajili ya kanisa la Kijijini kwake,ana akapewa na mdhamini yule yule- Slaa anapotosha?!! Mbowe aaminiwe?!!
Haikutosha,baada ya muda mchache Mbowe alimpa na zawadi mtu anaetuhumiwa kua amekua mfadhili wa Mbowe na hatimae Mbowe akiwa Mwanza alisema hadharani kua hawezi kumkosoa Samia,anamuunga mkono Samia na ushahidi huu hapa kwenye clip,Mbowe aaminiwe?!! Mbowe anafanya kazi ya CHADEMA ama ya mdhamini wake?!
View attachment 3198310

5. Kwa kua Dr Slaa ameshikiliwa kwa tuhuma za kusema anapotosha kua Mbowe kapewa fedha za kubaki madarakani, Lissu ambae amejitokeza hadharani na kusema kua Abdul na Mama yake wamepeleka hela za kuhonga watu CHADEMA na yeye alifuatwa kawafukuza- kwa nini Lissu hawamkamati?!! Ama kwa kua kweli Wenje amekiri kua Abdul walienda kwa Lissu ila kuongea fedha za matibabu?!! Je Abdul ni waziri wa fedha ama wa Afya?!! I

Lissu anasemaje kuhusu mwenendo wa Mbowe baada ya kukutana na Samia na kuteta mambo yao?!!
View attachment 3198316

Baada ya kuelekezana kwa viambatanishi kadhaa,ukiwa kama mpenda haki, demokrasia na Mtanzania wa kawaida- Je Mbowe amehongwa?!! Je Mbowe aaminiwe?!! Je Dr Slaa kwa historia yake ya kupinga na kufichua ufisadi kuanzia list ya mafisadi papa mpaka akiwa mbunge, mgombea uraisi,amedanganya umma?!!

Je Watanzania na wajumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA- kati ya Lissu na Mbowe- nani anataka kukiua chama?!! Nani apewe kura zote za kukiongoza chama?!!

Tafakuri njema!!
Tatizo ni kuwaingiza TISS. Kwa wenzetu kuna sheria za whistleblower lakini sidhani kama sisi tunayo. Kuna watu wamefungwa Marekani kwa kutoa mambo ya serikalini hadharani.

Amandla...
 
Agizo la asipewe dhamana ni la kutopka kwa Hangaya mwenyewe...

Nchi inaongozwa na dikteta wa kike
 
Ushahidi upo zaidi ya fact checking 5 ambatanishi?!! Ushahidi kua hakutoka jela kwa kupewa deal na Mama Abdul?!! Ushahidi kua baadala ya DPP kwenda kukaa nae na kumfutia mashitaka ila akakaa na Mama Abdul?!! Ushahidi kua hakusema kua hatompinga Mama Abdul?!!
Inaelekea haujui maana ya ushahidi. Hizo ni taarifa za redio mbao. Mbowe anasema aliambiwa na watu wa Mungu kuwa serikali haina mpango wa kuendelea na kesi na kuwa Rais anamuomba akaongee nae. Sasa kama unasema alipewa deal na Rais kabla ya kutoka gerezani, itabidi angalau useme hayo majadiliano ya deal hiyo yalifanyika wapi na nani alihusika. Kama unavyosema kuwa alikaa kwanza na Rais tuambie waliwezaje kukaa pamoja. Rais alenda gerezani au Mbowe alienda Ikulu kabla ya kuachiwa au walikutana sehemu nyingine. Ushahidi wa ahadi ya kutompinga Rais ni mmojawapo wa wahusika kukiri kuwa yalikuwepo, mtu aliyeyasikia kusema chini ya kiapo kuwa ndivyo ilivyokuwa. Bila hivyo yanabaki kuwa speculations. Na ingekuwa kweli Mbowe aliacha kuipinga serikali hata baada ya kutoka tungeweza kuanza kumtilia shaka. Uongo hauwasaidii.

Amandla...
 
Back
Top Bottom