Kwenye mariadhiano ya Samiah na Mbowe,Mbowe aliahidi kushirikiana na serikali kwa namna yoyote ile,ndiyo maana Lucas Mwashambwa,Tlahtlah na Choicevariable wako upande wa Mbowe 100%
Na hakika nimegundua tangu last Friday maroboti yote ya Lumumba hapa JF wapo busy kumpigia Mbowe chapuo,ajabu sana wafuasi wa CCM Leo wanataka fulani ndio awe kiongozi wa CHADEMA!!