Haya mnaoilaumu TANESCO mmejibiwa na rais Samia

Ninyi ndiyo bure kabisa hata hitoria ya nchi hamjui.
Msitegemee maendeleo chini ya CCM, Chadema , yani vyama vilivyozaliana kutoka CCM.
Vijana tuliozaliwa 1990s siku tukijitambua na kuanzisha vyama vya upinzani ivyo ndo vitaitoa CCM madarakani. Kataaa CCM, Chadema, AcT na vingine vyote
 
Ukiwa nje ya uwanja unaweza ona mambo mepesi. Ingia ndio utajua wale unaowachukulia pia walipambana kiasi gani.
 
Walete wazabuni serikali ninaogopa nini ushindani
 
Ameanza lini kubwia ugoro huyu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ