Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Kwa sasa tushangae...ila angemkabidhi.kile.kijiji chake mbweni apo.ingekua sawa ila ivi vigar bila kadi??wema grow up....ukitaka weka kad ya gari nikusalimie
Umenena kijiji ndo kilakitu...ila hawa na usanii wao hawashindwi tengeneza feki card.tz kilakitu kinawezekana dina.usimsalimie bwana ataringa...
 
Teamwema walitaka kugoma kupiga kura.ila naona kuanzia leo wataanza kumpigia kura.chibu anaakili kwakweli ya kucheza na jina la wema
 
Teamwema walitaka kugoma kupiga kura.ila naona kuanzia leo wataanza kumpigia kura.chibu anaakili kwakweli ya kucheza na jina la wema
Akishapigiwa Kura anahamia kwingine...kwa mtoto mzuri.yaani Hizi team Mavis...
 
Yawe ya kwelii tu maana uzuri hua hawafichiii
Kesho na kesho kutwa utaskia alipa tu niendeshe kwasababu mskaji wangu...hahaaa.jamani mbona magari ni kitu cha kawaida Kama baiskeli tu.mie nionyeshe nyumba nitakuona wa maana gari?BIG NO
 
Kesho na kesho kutwa utaskia alipa tu niendeshe kwasababu mskaji wangu...hahaaa.jamani mbona magari ni kitu cha kawaida Kama baiskeli tu.mie nionyeshe nyumba nitakuona wa maana gari?BIG NO

Ndio hivyoo kila siku magari yanatoka mapyaa hongera yaoo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…