Yote yatajulikana soon
Cha ajabu Ndugu zao hata pesa ya kununua dagaa hawanaNdomo kaonyeshaa limorano sads ilo li bmw atujmui.km la mkongo au clemee kakumbukiaa
Lala tu kesho Majibu yote yatapatikanaAisee wacha nilalee
View attachment 188989
Ujumbe maridhawa kwa hawa walio kwenye haya mashindano
Mwingine dada yake hajampa hata kavitz wala hata kumuandikia status
Mwingine anaishi kwao kwenye banda la uani halafu leo anatoa BMW
Wataachana tu...
Pambaf zangu nyingi. Yaan sijalala kisa huu uzi aaaah!!!!
Halafu aliyepeleka ni mama diamond mwenyew, uwiiiii watu leo lazima wameze diclopar
Yaan leo mi nishalazwa kabisa ICU wema katufungajee, warumi angekuwepo leo ningecheka mnoo
Ila sio tu kesho kutwa tusikie hana magarii maana Wema kwa maonyesho namkubaliii
Aisee safari hii kajitahidii chibu big up kwakee
kuna mtu kanuuuuuna???
Hawatakuwa wa kwanza asee
muke wa mukuu mi sidhani kama alimdhalilisha, alimueleza ukweli, wanasemaga (kampa kitu kichungu) na kiukweli kuna mabadiliko wema kafanya and thats why move inaendelea, cha kufanya wee agiza popcon
hahahahaaa nimeipenda hii, umekubali kuwa mateka na wala huna mpango wa kuomba rescue